FT: Pamba SC 1-2 Simba SC | Ligi ya NBC | CCM Kirumba

FT: Pamba SC 1-2 Simba SC | Ligi ya NBC | CCM Kirumba

Mpira umeisha Simba kashinda 2-1 dhidi ya pamba.
Mechi ilikuwa nzuri sema kadi ya jabaar imeifanya simba kutocheza vizuri.
 
Simba wana michezo miwili na kadi nyeundu mbili. Safi FVS, simba ni wanufaika wakubwa wa makosa ya marefa wanasingizia ati ni kosa ya kibinadamu
 
Back
Top Bottom