pamba jiji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania FT: Pamba SC 1-2 Simba SC | Ligi ya NBC | CCM Kirumba

    Ligi Kuu ya NBC inaendelea leo Jumatano, Agosti 19, 2026, kwa michezo mitatu, huku Simba SC ikishuka dimbani kumenyana na Pamba Jiji FC katika Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza. Mchezo huo unatarajiwa kuanza saa 10:15 jioni. Simba inaingia uwanjani ikiwa ugenini, huku Pamba Jiji ikitafuta kutumia...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania RC Said Mtanda: Ni kweli Wachezaji wa PAMBA JIJI wanadai malipo ya mishahara, watalipwa soon, nimewatafutia mshahara wa mwezi mmoja kwanza

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda amefafanua ukweli kuhusu madai ya wachezaji wa timu ya Pamba Jiji FC kutolipwa mishahara yao ya miezi mitatu na tetesi za wao kugoma kuingia uwanjani. Hoja ya awali ~ Wachezaji Pamba Jiji kususia Mechi ya mwisho wa Ligi Kuu sababu hawajalipwa kwa miezi...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Wachezaji Pamba Jiji kususia Mechi ya mwisho wa Ligi Kuu sababu hawajalipwa kwa miezi mitatu!

    Wachezaji wa Pamba Jiji FC wametishia kususia mchezo wao wa mwisho wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Coastal Union wa Juni 30, 2026, kutokana na kile walichodai kuwa ni kucheleweshewa malipo ya mishahara na bonasi kwa zaidi ya miezi mitatu. Taarifa kutoka ndani ya kikosi hicho zinaeleza kuwa...
  4. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania "Pamba Jiji" wabadilishe jina waitwe "Mwanza Jiji"

    Pamba United ilikuwa timu iliyokuwa inamilikiwa na chama cha ushirika cha Nyanza Cooperative Union, ambacho kilikuwa kinajihusisha na zao la pamba tu. Timu hii ilipofufuliwa tena chini ya Halmashauri ya jiji la Mwanza, imeendelea kutumia jina la Pamba ambalo halina uhusiano wowote na timu hiyo...
  5. PAYE

    JamiiForums Tanzania FT: Pamba Jiji FC 0-3 Yanga SC | Ligi ya NBC | Aprili 8, 2026 | CCM Kirumba

    Leo Aprili 8, 2026, mashabiki wa soka nchini wanatarajia kushuhudia pambano kubwa la kusisimua kati ya Pamba Jiji FC na Yanga SC katika muendelezo wa Ligi Kuu ya NBC. Mchezo huu utapigwa katika Uwanja wa CCM Kirumba, jijini Mwanza, kuanzia saa 10:15 jioni. Pamba Jiji FC, wakiwa nyumbani...
  6. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Sanaa na Michezo: Pamba Jiji FC kufanya mazoezi gizani ni kwa sababu hawakutoa taarifa mapema

    Wakuu, Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imekanusha madai yaliyoenea mitandaoni kuwa timu ya Pamba Jiji FC ilifanya mazoezi gizani kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Kupitia taarifa kwa umma iliyotolewa Septemba 23, 2025, wizara imesema timu hiyo iliingia uwanjani bila...
  7. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Pamba Jiji wanadai kuzimiwa taa wakati wakifanya mazoezi ya mwisho uwanja wa Benjamin Mkapa

    Klabu ya Pamba Jiji yenye makazi yake Jijini Mwanza wanadai kuzimiwa taa wakati wa mazoezi yao ya Mwisho kuelekea mchezo wao dhidi ya Yanga Sc hapo kesho. "Hii ndiyo hali tuliyokutana nayo uwanja wa taifa, taa zimezimwa tumefanya mazoezi gizani".
Back
Top Bottom