FT: Pamba SC 1-2 Simba SC | Ligi ya NBC | CCM Kirumba

FT: Pamba SC 1-2 Simba SC | Ligi ya NBC | CCM Kirumba

Tayariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Ligi Kuu ya NBC inaendelea leo Jumatano, Agosti 19, 2026, kwa michezo mitatu, huku Simba SC ikishuka dimbani kumenyana na Pamba Jiji FC katika Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza. Mchezo huo unatarajiwa kuanza saa 10:15 jioni.

Simba inaingia uwanjani ikiwa ugenini, huku Pamba Jiji ikitafuta kutumia faida ya kucheza mbele ya mashabiki wake. Mchezo huo unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kutokana na umuhimu wa pointi tatu kwa kila upande katika mwendelezo wa msimu wa 2026/27.

VIKOSI VYA TIMU ZOTE



Kikosi cha Pamba FC



Kikosi cha Simba SC


19' Goooal - Chama
31' Goooal - Aura
 
kaletso na Doumbia wanajiandaa kuingia.
Wanakwenda nje Mpanzu na gueye
 
Pamba jiji wamepata penati baada ya refa kuangalia VAR ya mchongo
 
Pamba wamepata goli moja hapa, Simba wakaze maana bado ni dakika 73
 
Hii Team sijui imelaaniwa!!!??? Siioni ikifanya lolote la maana msimu huu
 
Back
Top Bottom