Ligi Kuu ya NBC inaendelea leo Jumatano, Agosti 19, 2026, kwa michezo mitatu, huku Simba SC ikishuka dimbani kumenyana na Pamba Jiji FC katika Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza. Mchezo huo unatarajiwa kuanza saa 10:15 jioni.
Simba inaingia uwanjani ikiwa ugenini, huku Pamba Jiji ikitafuta kutumia...
Simba imeanza vizuri msimu waa Ligi Kuu Tanzania Bara Msimu wa 2026/2027 kwa kuifunga Kagera Sugar Magoli 2-0, leo Agosti 16, 2026.
Baada ya mechi za maandalizi na bonanza, sasa Ligi yenyewe inaanza rasmi leo, kwa Kagera Sugar FC na Simba SC zikianza kampeni zao za msimu wa 2026/27.
📅 Leo...
Raundi ya 28 ya Ligi Kuu NBC inaendelea leo kwa mchezo wa kusisimua kati ya Mtibwa Sugar na Simba SC utakaopigwa saa 10:00 jioni katika Uwanja wa Jamhuri. Simba SC ikisaka pointi 3 katika mbio za ubingwa baada ya kuukosa kwa misimu kadhaa mfululizo, huku Mtibwa Sugar ikihitaji matokeo mazuri...
Leo Aprili 8, 2026, mashabiki wa soka nchini wanatarajia kushuhudia pambano kubwa la kusisimua kati ya Pamba Jiji FC na Yanga SC katika muendelezo wa Ligi Kuu ya NBC. Mchezo huu utapigwa katika Uwanja wa CCM Kirumba, jijini Mwanza, kuanzia saa 10:15 jioni.
Pamba Jiji FC, wakiwa nyumbani...
Klabu ya Yanga SC iko mbioni kuingia kwenye ukurasa mpya wa kikosi chake baada ya taarifa kuibuka kuwa baadhi ya nyota wake wakongwe na mahiri kama Khalid Aucho, Jonas Mkude, na Clatous Chama huenda wakaondoka mwisho wa msimu huu.
Kwa mujibu wa ripoti kutoka vyanzo vya ndani ya klabu pamoja na...
Mshambuliaji Steven Mukwala wa Simba ametwaa tuzo ya Mchezaji Bora wa Mei Ligi Kuu ya NBC 2024/25 baada ya kung’ara kwenye mechi nne kwa kufunga mabao matatu na kuchangia moja, huku kocha wake Fadlu Davids akichaguliwa Kocha Bora kwa kuiongoza Simba kushinda mechi zote tano za mwezi huo...
Nani anaifuatilia ligi ya bongo nani anajali matokeo nani anajali mechi zinazochezwa ni wapuuzi wachache waliounga mkono upuuzi uliofanywa na Yanga na wapuuzi waliounga mkono Simba na bodi ya ligi.
Unaweza ita washamba...bongo mpira wake ni wa matokeo ya mfukoni na uchawi iko wapi ligi yenye...
Wewe ni kocha umesomea taaluma yako ya ukocha na ukapewa leseni ya ukocha unawezaje kupangiwa kikosi na kiongozi wa timu ambae hana uelewa wowote na taaluma ya coaching?!...
Ifikie hatua haya malalamiko ya makocha kupangiwa timu na viongozi yafike mwisho
Wewe ni kocha ukiona kiongozi...
Sio jambo la kificho tena, kuwa timu kubwa hapa nchini zinapendelewa na waamuzi waziwazi..
Timu ndogo zinafahamu hili, Mashabiki tunajua hili, Wachezaji na makocha wanajua hili,
Media zote wanajua hili, TFF inalijua jambo hili,
Malalamiko haya yamekuwepo miaka nenda rudi. Lakini kwa nyakati...
Yanga waliangalia ratiba ya ligi wakaona muda sahihi wa harusi ya Aziz Ki na Hamisa Mobetto ni huu ndiyo wakabariki hili zoezi zima linaloendelea.
Wachezaji wa Yanga wamekuwa kwenye pilikapilika za shughuli za hii harusi zaidi ya wiki moja sasa ila cha ajabu wakiingia uwanjani wao ndiyo wana...
Marefa wanabet, Wachezaji wanabet, Viongozi wa timu wanabet, mashabiki wanabet.
Ligi inaelekea kukosa mvuto. Magoli yanafungwa marahisi, waamuzi wana makosa ya wazi, mabeki na makipa ni kama wana maelekezo.
Cheki mechi kama ya jana ya Yanga, utagundua makosa mengi kuanzia kwa marefa, kipa...
Kesho, Alhamisi Disemba 19, 2024, mashabiki wa soka watashuhudia Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Yanga na Mashujaa, mechi ambayo itaamuriwa na Mkaguzi Msaidizi wa Polisi, Sady Mrope. Mwamuzi huyu, ambaye pia ni miongoni mwa waamuzi waliothibitishwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania...
Msikilizaji anataka kusikilizwa mpira kuanzia mwanzo hadi mwisho na Kila tukio uwanjani. Kuna wakati mpira umenza lakini TBC hawatangazi mpira bali wanatangaza vitu vyao vingine kabisaaaaaa (wadhamini wao). Wanakuja kutangaza hata orodha ya wachezaji wakati mpira una dk 5.
Kwanini matangazo ya...
Kariakoo Derby!
Simba Vs Yanga, mchezo wa kukata na shoka. Je, Simba atafuta Uteja wa kufungwa na Yanga mfululizo?
Kwa LigiKuu msimu huu, Simba imecheza michezo 5 ikikusanya alama 13 na Yanga michezo 4
ikikusanya alama 12.
Katika siku hizi za karibuni Yanga imeonekana kupata matokeo Chanya...
Nasikiliza redio moja nashangaa sana wachambuzi wa kuheshimika hawajui madhara ya wanayoongea. Eti wachezaji wa kigeni wapungue. Wapungue waende wapi? Bila wa kigeni leo hii ligi yetu isingekuwa na ubora.
Timu zetu zisingekuwa za ubora. Au mnataka uwanjani waende ndugu zenu.
Katafuteni dawa za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.