FT: Namungo 0-0 Yanga | VPL | Majaliwa Stadium

Hawa utopolo wanalilia kubebwa bebwa tu mbona hawalalamiki timu zingine zikionewa dhidi yao??

Chezeni mpira vilio feki havitawasaidia
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Mwekezaji gan hana dira hana mpango
Sijawahi kusikia malengo ya Muwekezaji Wa yanga zaidi ya kujitapa atavunja bank ooh nitasajili wachezaji kutoka ligi 5 bora African brabra nyingi
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Back
Top Bottom