Lethergo
JF-Expert Member
- Aug 7, 2023
- 4,144
- 6,980
Mmekubari kupigwa na MashujaaKwani wao sio wachezaji au ni masokwe tulikua tunacheza nao
Mmekubari kupigwa na MashujaaKwani wao sio wachezaji au ni masokwe tulikua tunacheza nao
Sina wasiwasi na DerbyUmeumia Nini Mkuu Wakati Ndio Timu Mbovu.
Tunakusubiri Tar 20
6-5Penati imeisha ngapi ngapi?
Pajobe na Fredy performance zao vipi? Au hawajacheza?
Wakati Yanga tunawaokoa msishuke daraja ulikuwa hujazaliwa?Hata Simba iwe mbovu vipi haiwezi kumaliza ligi nafasi ya tatu.
Itabidi mfute uongozi wote 🤣🤣🤣🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 acha tuu la mama....
Musonda pia aliwagonga dakika hizo hizoDk ya 5 Simba huwa wanatoa utelezi pyeeeew
Aly Ahly dk 5
Mashujaa dk 5
.... Kipele Cha Simba kipo dk ya 5 na trh 20 tutakikunia dk hizihizi
Mangungu na Try again wameambiwa na mganga wakipita dakika ya 5 hawajafungw ahiyo mechi watashinda.Musonda pia aliwagonga dakika hizo hizo
Yanga Tunamkanda na Azam anakandwa pia na Tunachukua Kombe..Upo uwezekano mwakani msishiriki international games.
Nafasi ya Kwanza hii mmeitema, je kwenye ligi mtaweza kushindana na Azam mpate nafasi ya Pili?
Mna mechi na Yanga na mna mechi na Azam, hapo ndio akili zitawarudia, wakati mnashabikia Mamelodi tuliwakumbusha mfocus kwenye timu yenu hamkashupaza shingo, haya Kiko wapi sasa?
Kenge mwenyewe...unaumwa nini? Chura mwenye mayai wee
Unasema kuwa shughuli kwishnei ? Au sijaelewaNdio. Shuguli ishaisha.
Huyo kipa nae anadka upande huo huo hakuona kuwa wameshamchora?
DuhKenge mwenyewe...unaumwa nini? Chura mwenye mayai wee
Siulisema mmewekeza kimataifa leo tena umebadilisha giaHaya ndo mambo yanatakiwa ili wale kina Try Again, Mo, na Mangungu wa msovero wakiambiwa timu mbovu waelewe.