Ligi Kuu hawezi kukimbia.Unamkimbia Yanga kwenye FA halafu unamfuata LIGI KUU?
Akikimbia rungu la kuteremka daraja linamhusu.
Ligi Kuu hawezi kukimbia.Unamkimbia Yanga kwenye FA halafu unamfuata LIGI KUU?
Usipo kuwa makini unaweza kushindwa kufocus kuhudumia ndoaKwani wao sio wachezaji au ni masokwe tulikua tunacheza nao
Mpaka akitoa mwiko akili itakuwa sawaUmesoma wapi hii historia yako mbona haifundishwi shuleni!.
Simba hawataki ukweliDah jamani kama Kuna member wa group la Whatsapp la Simba(wekundu wa terminal) anijuze group linaendeleaje??walintoa kwenye group mwaka juzi wakati nlkuwa nawaambia ukweli kuhusu Simba yetu..
Tena wakanidisi vby mno,,ni group la kpuuz sana member hutakiwa kuhoji chochote kuhusu mwenendo wa timu,usajili mbovu n.k......yaani unatakiwa usapoti tuu hata upuuzi.
Kwa elimu yangu nliyoipata shule ya msingi tandale na elimu ya mtaani toka manzese-buck town nikasema hapana,siwezi kuendana na umbumbumbu.
Yes, kama ilivyokuwa Utopolo Community Shield CupKifupi Simba wamefungwa sita
Mimi nimeuliza tuHahahahaha ila wee analyse una unakera umma wa koloizdada
Simba yet mbovu Sana tusubirie msimu ujaoDah jamani kama Kuna member wa group la Whatsapp la Simba(wekundu wa terminal) anijuze group linaendeleaje??walintoa kwenye group mwaka juzi wakati nlkuwa nawaambia ukweli kuhusu Simba yetu..
Tena wakanidisi vby mno,,ni group la kpuuz sana member hutakiwa kuhoji chochote kuhusu mwenendo wa timu,usajili mbovu n.k......yaani unatakiwa usapoti tuu hata upuuzi.
Kwa elimu yangu nliyoipata shule ya msingi tandale na elimu ya mtaani toka manzese-buck town nikasema hapana,siwezi kuendana na umbumbumbu.
Hahaahahah sipati picha hilo group uandishi wao. Humo wazee wa kuchanganya R na L kama wote.Dah jamani kama Kuna member wa group la Whatsapp la Simba(wekundu wa terminal) anijuze group linaendeleaje??walintoa kwenye group mwaka juzi wakati nlkuwa nawaambia ukweli kuhusu Simba yetu..
Tena wakanidisi vby mno,,ni group la kpuuz sana member hutakiwa kuhoji chochote kuhusu mwenendo wa timu,usajili mbovu n.k......yaani unatakiwa usapoti tuu hata upuuzi.
Kwa elimu yangu nliyoipata shule ya msingi tandale na elimu ya mtaani toka manzese-buck town nikasema hapana,siwezi kuendana na umbumbumbu.
Na kapigwa kweliutashangaa kolozidad kapigwa
Simba ni kama wanahujumiana hivi. Kuna jambo haliko sawa ndani ya timu, na hawataki kulisemawak
Simba imejaa machawa wengi ukihoji utasikia mtu anakuuliza we umetoa shilingi ngapi au wanakusingizi wewe ni yanga.Dah jamani kama Kuna member wa group la Whatsapp la Simba(wekundu wa terminal) anijuze group linaendeleaje??walintoa kwenye group mwaka juzi wakati nlkuwa nawaambia ukweli kuhusu Simba yetu..
Tena wakanidisi vby mno,,ni group la kpuuz sana member hutakiwa kuhoji chochote kuhusu mwenendo wa timu,usajili mbovu n.k......yaani unatakiwa usapoti tuu hata upuuzi.
Kwa elimu yangu nliyoipata shule ya msingi tandale na elimu ya mtaani toka manzese-buck town nikasema hapana,siwezi kuendana na umbumbumbu.
Binafsi nafurahi kuwaangalia Vyura wanavyoteseka kukaba dk 90 ili wafike penati halafu wazipaishe.Endeleani kukomaa na vyura kama mlivyokomaa kwa Mamelodi alipopangwa na Yanga mkaacha shughuli zenu na kuumbuka kwa kipigo kitakatifu. Msipojifunza kujali ya kwenu mnapoteza kila sehemu msimu huu.
Sio wewe kweli?Mashujaa Apate Ushindi Maana Admin Wao Wa Twitter Huwa Yupo Vizuri Sana
Kwa akili hizi mnastahili kuongozwa na Akina Try again na Mangungu. Endeleani kufurahia ya vyura ambaye ana makombe mawili anayapigania msimu huuBinafsi nafurahi kuwaangalia Vyura wanavyoteseka kukaba dk 90 ili wafike penati halafu wazipaishe.
Naunga mkono hojaLigi Kuu hawezi kukimbia.
Akikimbia rungu la kuteremka daraja linamhusu.