Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,117
- 28,574
Daaah!!!Usiwadanganye wenzako. Simba hawana timu, huwa wanapita kimazabe sana. Juzi mlikuwa mkisema wenyewe timu mbovu, leo yamekuwa haya baada ya kushinda?
Mimi hata ningekuwa siko Yanga, siipendi acheni kuna wachezaji. Hapa Aucho kule Mzize Babeki.