kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,364
- 10,103
Raha Sana kutazama vijana damu changa Wanavyosakata kabumbu...!
Ubaya Ubwela.!
Ubaya Ubwela.!
Ni kweli lakini mazoezini vitu hivi vinaelekezeka.Ni kweli, ila kuna mambo mengine yanabaki kwa mchezaji mwenyewe, maana kocha anakuwa ametimiza mambo yake mengi tayari
Hana Bahati!!Kuna mawili hapo, either hana bahati au utulivu.
kafanyaje huyo,hivi sura ya Mpanzu ni ya duara kama Mwijaku?Mnamuona Mpanzu?😁
Yes, taratibu taratibu.Ila si mbaya. Wafanyie kazi utulivu. Mdogo mdogo tutafika.
Mnyama 🦁 🦁 anamuua 'kiumbe' mmoja kikatili sana.Kuna nini mbona keleleeee