Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 58,037
- 134,301
Kwishaaaaaaa
Lefa kapeta tu...Kama offside hivi!!!
Mkuu kwani wanawake nanyie siku hizi mna mbupu? Ama naona makengeza hapa
Hamna offsideAcha uchawi sasa 😂
Baunsa alitangulia kitambo tuLefa kapeta tu...
kungekuwa na VAR lingetazamwa vizuriKama offside hivi!!!
Ndio maana ya Ubaya Ubwela hiyo mkuu.Kama offside hivi!!!
Simba wanawafundisha vyura jinsi ya kuchezw Kimataifa na kumfunga Mwarabu.
View: https://www.instagram.com/p/DFArot8qBst/?igsh=MWZnd2VucnVpdzdjcg==
Sema mwarabu kachoka hata kulalamika hawezikungekuwa na VAR lingetazamwa vizuri
Huku kileleni baridi ni kali sana hata kwa Mnyama 🦁 🦁 🦁.Kwani hamuwezi kushinda mkafurahia tu binafsi
Mpaka mtaje Yanga?
VAR ingekuwepo simba tungepata penati za kutosha kwenye hii michuano. Mechi mbili zilizopita tumenyimwa penati za wazi kabisa za handball.kungekuwa na VAR lingetazamwa vizuri
Na kubutua kunakuja unapokosa utulivu, haihitajiki papara pale.Accuracy hatuna. Tunabutua.