bonjov
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 529
- 1,314
Coca hapo roho kwatuuuu...Leo Simba mko vizuriKituuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!
Coca hapo roho kwatuuuu...Leo Simba mko vizuriKituuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!
Bado hujasikia babu, tega sikio vizuriiiiiiNasikia makelele kuna nini huko?
FredNani kafunga??
😀😀😀Yani hatari unaweza kupata aibu ya mwakaUkijifanya Kuangalia Bila kuvizia unaweza kumtukana mpaka mama Mkwe 🤣🤣🤣
Walikuta Yanga anawaza Championship ndio maana.Hivi ilikuwaje wakawatandika Uto?
FredNani kafunga??
DuchuNani kafunga??
Striker letu la dirisha dogoFred
Ivo yaanMsiniambie 3 bila!!
🔥🔥🔥🔥🔥🔥Kituuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!
Na magoli ya mchongo mchongo😆😆😆 hawa ndo mana Aziz aliwapiga HatrickWalikuta Yanga anawaza Championship ndio maana.
Inatosha mumpe Mgunda mkataba wa kudumuChuma cha Tatu.