Hivi Wewe! Sasa Huoni Kuwa Ni Ajabu Iyo Barcelona Yenye Wachezaji Bora Kuzidi Liverpool Kwa Viwango Vya Mchezaji Mmoja Mmoja Na Kikubwa Zaidi Uwepo Wa Mchezaji Bora Wa Dunia Ndani Ya Timu Yao, Timu Iliyokuwa Ikitegemewa Na Mashabiki Wake Ichukue Ubingwa Msimu Huo Ikaenda Kutiwa Kamba Nne Bila Away Huku Ikitoka Nyumbani Na Ushindi Wa Goli 3 [emoji1787], Ni Sawa Nyie Timu Yenye Wachezaji Wenye Viwango Vya Juu Kama Kiungo Punda Mzamiru Na MaStriker Wa Viwango Vya FIFA John Bocco Na Mugalu [emoji1787], Kosi Linalotumainiwa Na Wanamsimbazi Kuwa Mabingwa Wapya Wa Shirikisho Msimu Huu Kwenda Kutiwa Kamba Tatu Bila Na Timu Mliyoinyanyasa Kwenye Uwanja Wenu Wa Hatoki Mtu [emoji205]