FT: ASEC Mimosas 3-0 Simba SC | CAF Confederation Cup | Stade de L' amitie General

FT: ASEC Mimosas 3-0 Simba SC | CAF Confederation Cup | Stade de L' amitie General

kwa game kama hii kati ya Kibu na mzee wa kukera yupi alipaswa aanze
 
Siyo busara kufanyia masihara imani ya watu wengine.

tenor.gif
 
Mkuu naomba link ya moja kwa moja basii maana naona kuna mavitu mengi hukoo
 
sakho haonekani kabisa
hivi kibu kwanini anauhakika wa namba?
 
Wachezaji kama kina Kapombe na Zimbwe kwa experience yao ningetegemea kwenye game kama hii ndio waibebe timu, lakini ajabu wao ndio wanageuka uchochoro..

Hakuna professional Tanzania wote kero tupu.
 
Back
Top Bottom