Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 44,313
- 105,142
Hakuna protocol ya dzaini hiyo kwamba timu kubwa haifungwi na timu ndogo, hiyo ni wishfully thinkingSasa Ajabu Ni Kwamba Kwa Timu Bora Nyie Afrika Hii Ambapo Kwenye Kundi Lenu Kulingana Na Takwimu Zenu Zile Za Nafasi Ya 7 Hakuna Timu Iliyowazidi Pale Mbn Inakuwa Kila Mechi Sasa Mkienda Huko Hamuoneshi Huo Ubora Wenu Ule Ubora Unakwendaga Wapi Kama Mnavokuwa Kwenye Uwanja Wenu Wa Hatoki Mtu? Au Ubora Wenu Wa Kushika Nafasi Ya 7 Afrika Kama Mnavodai Kulingana Na Takwimu Zenu Ni Ubora Wa Kwenye Uwanja Wa Hatoki Mtu Pekee?
Maswali uliyouliza kuhusu simba ugenini, jiulize hivyo hivyo kwa timu zilizopigika kipindi simba yuko nyumbani