From The Naked City to Ikungulyabashashi

Manyanza

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
9,485
14,353
Naked City na Ikungulyabashashi ni Location tha magreat thinker wawili humu JF, nao ni Eqlypz na Nyani Ngabu....
Naweza nikasema kwa muda ambao nimekuwa nikiperuzi humu Jamvini, nimekuwa nikivutiwa sana na michango ya hawa wana jamvi...
especially kama issue ni ya kimataifa, huwa wanaichambua vizuri sana tena sio kwa copy na paste kama baadhi ya Members, wao huwa wanatumia uzoefu na uelewa wao katika kudadavua jambo....
Sina budi kuwasifia kwa kuwa michango yenu hapa Jamvini naithamini sana...
Nyani Ngabu kutoka Ikungulyabashashi(Usukumani) keep it up!
Eqlpyz kutoka Naked city(???..?) Keep it up
 
Mimi sio hao watu... ila nimebahatika kuonana nao katika thread...

Eqlpyz ana a very impressive resume na point of view, I envy the guy..
Nyani ngabu complicated! and very strong impressive stand katika vitu anavyo amini.
 
Asha D...my beloved sister from another mother.

You are very right. I am a complicated fella. But one who is compassionate, open minded, and easy going.

Very opinionated at times. Somewhat controversial. I have the courage of my convictions. I never bite my tongue if I need to speak up. Political correctness is not in my vocabulary and neither is ordinary.

Much love.
 
kumbe hili jamaa lisukuma ndio maana limbukeni sana na nchi za watu.
NN usinijubu nikaushie tafadhali sitaki ligi na wewe
much respect you
 
Hongera sana shemeji NN. Jifunze na mambo ya nchini kwako uwe kama Malecela @ NY
 
kumbe hili jamaa lisukuma ndio maana limbukeni sana na nchi za watu.
NN usinijubu nikaushie tafadhali sitaki ligi na wewe
much respect you

Hahaaa haaaaa Mtakatifu Ivuga na wewe....
Poa bana me simo ina maana NN ni limbukeni???
 
Back
Top Bottom