bht
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 10,336
- 1,862
Japo sina jacuzzi
Nimenunua beseni kubwa pale simba plastic
Nina omo, mchanga wa bahari, still waya, dodoki la mfuko wa sandarusi/chumvichumvi na jiwe
Nina majivu, mkaa, chumvi na mswaki wa mti kwa ajili ya kinywa
Bado nitakuwa na tatizo???
ulipofikia kuna maji ya dawasko au unadhani beseni utajaza maji ya bahari?
halafu wa ocean road na mambo ya miswaki ya miti wapi na wapi...???