From the bottom of my heart sitaki mwanaume wa Dar

Japo sina jacuzzi
Nimenunua beseni kubwa pale simba plastic
Nina omo, mchanga wa bahari, still waya, dodoki la mfuko wa sandarusi/chumvichumvi na jiwe
Nina majivu, mkaa, chumvi na mswaki wa mti kwa ajili ya kinywa

Bado nitakuwa na tatizo???

ulipofikia kuna maji ya dawasko au unadhani beseni utajaza maji ya bahari?

halafu wa ocean road na mambo ya miswaki ya miti wapi na wapi...???
 
Duh,
Ngoja niongezee checklist yangu
Kumbe hata hivi havitoshi
ulipofikia kuna maji ya dawasko au unadhani beseni utajaza maji ya bahari?

halafu wa ocean road na mambo ya miswaki ya miti wapi na wapi...???
 
Unaweza ukawa unasema ukweli aisee.

Ni Robo Tu Ya Wanaume Wa Dar Wenye Mbegu Zenye Rutuba

Imefahamika kuwa idadi ya wanaume wa Kitanzania wenye mbegu za uzazi zisizorutubisha hivyo kutoweza kurutubisha yai la mwanamke na kusababisha mimba inaongezeka. Katika jiji la Dar es Salaam pekee, inaaminika kuwa ni asilimia 24.9 tu ya wanaume wa Dar es Salaam walio na mbegu za uzazi zenye rutuba, hivyo, wenye uwezo wa kurutubisha yai la mwanamke na hivyo basi, mimba kutokea. Utafiti huo umefanywa na Idara ya Jinikolojia ya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.

Zege (Chipsi Mayai) ((Kuku wa Kisasa) VS Ugali wa Muhogo/dona na Sato (kuku wa kienyeji).....!!

Kama asilimia 24.9 tu ndo wenye mbegu za uzazi zenye rutuba then serikali ichukue jukumu la kupiga marufuku mashine za DNA, manake asilimia kubwa ya wanaume wenye watoto wamerutubishiwa na wenzao wenye uwezo....huu utafiti uwe siri aisee....Dar itachimbika!

....yawezekana....anything is possible!!
 
Kaka
usiwaambie ukweli, wasifie kuwa wanajua kukariri mashairi ya nyimbo za marekani
wanaume wa dar ovyo kabisa wanaishi maisha ya kuigiza (movies)
 
ODM aka Asprin aka Muzee wa Mujini aka Muzee wa Dar aka Muzee vitu vikali okoa jahazi bado ni half time score board inaweza kubadilika na kusoma tofauti vinginevyo mrembo nimeshampa mji na kachagua Mbeya na Mbeya ndiko makazi ya Losambo kwikwi kwikwi kwikwi kwikwi kwikwi heeeeeeeeeh!!!!
Mpaka mchuchu ufike Mbeya....dah! Mpaka sasa yuko na wanaapolo wa ARACHUGA, Kisha atahamia MOSHI kwa kina MANGI na WALA THAMAKI kabla hajaweka kambi wa WAGOSI kuwatathmini.....Akiingia mji kasoro bahari kuwapanga foleni bado tu utakuwa unausubiri mchuchu? Manake hapo atakuwa bado hajafika kwa wanywa ulanzi na mishikaki ya wow! wow! wow!
 
The opposite is the truth......... Vijana wa Magomeni wamemmimina akanogewa AFU wakamtosa.....STUKA!
tatizo la vijana wa dar ni stori makers tu, mara ikishindikana ntamtuma Muddy aende Commorro ila huyu anayetaka kumtuma Muddy commoro kila siku anakubeep.
 
Kaka
usiwaambie ukweli, wasifie kuwa wanajua kukariri mashairi ya nyimbo za marekani
wanaume wa dar ovyo kabisa wanaishi maisha ya kuigiza (movies)
Sasa nimekuelewa wewe ni wa umri gani, ungeniambia unawazungumzia masharohuharo wenzako tungeshakuelewa muda mrefu, haya ndio madhara ya kushare mijadala na watoto wa Secondary school.
Kwa kifupi wanaume wa Dar hatuigizi bali tunafanya Filimee!
400442_344812682209450_100000421632064_1241409_1113166883_n.jpg
 
Wa Dar wajanja macho yao yanaona visivyoweza onekana na wa mikoani,trust me nimeishi muda pale!

yaan hata kama nguo umeinunua jana Nairobi MWANAUME wa Dar hutakawia kumsikia akisema, huo mvao kama ule wa demu wake mjomba wangu wa Sinza anayefanya kazi NMB.mwanaume anajua mivao ya wanawake kuliko hata demu wake
 
Zege (Chipsi Mayai) ((Kuku wa Kisasa) VS Ugali wa Muhogo/dona na Sato (kuku wa kienyeji).....!!

Kama asilimia 24.9 tu ndo wenye mbegu za uzazi zenye rutuba then serikali ichukue jukumu la kupiga marufuku mashine za DNA, manake asilimia kubwa ya wanaume wenye watoto wamerutubishiwa na wenzao wenye uwezo....huu utafiti uwe siri aisee....Dar itachimbika!

....yawezekana....anything is possible!!
mwanaume anakula zege wiki nzima!!!!!!!!! loh
 
Baada ya kumalizia utafiti wake Dar utafiti uliendelea na mikoa mingine au kwa kuwa Dar ndio TANZANIA, utafiti uliishia hapo?....

Utafiti unasema average ya 30 to 35 percent ya wanaume walioenda kufanya check up Muhimbili wamejulikana hawana nguvu za kiume. Of course, wanaoenda Muhimbili kutibiwa sio wale wanaoishi Dar tuu. Lakini kuna utafiti mwingine uliofanyika Dar mwaka 2003 kwenye hosipital ya Tumaini Upanga kwa jina “Male infertility in Dar es Salaam” uligundua kuwa asilimia 24.9 tuu ya wanaume wanaoishi Dar Es Salaam walikuwa na nguvu za kiume.

Kuhusu mikoa mingine kuna utafiti ulifanyika Moshi mwaka 2006 kwa jina “Infertility in a community and clinic based sample of couples in Moshi district”. Kwenye sample ya couples 269, asilimia 30 ya waume walikuwa na matatizo ya nguvu za kiume. Overall mimi naona tukubali tusikubali hili ni tatizo kwa nchi nzima. Lakini no doubt that Dar inaongoza na sababu zinajulikana.

Alieyanzisha huu uzi ana hoja fulani lakini kaiweka kiumbea.
 
@nje ya dar, baba mngoni, mama mchagga.

..........finally i concluded kuwa STAKI mwanaume wa dar

1.Wengi ni watoto wa mama
2.Huko dar kila duka la dawa baridi (small pharmacy) lazima ukute wanauza dawa za kuongeza NGUVU ZA KIUME
na kukuza uume wakati wanapenda kuwatusi wanawake mchina,mchina,mchina
3.umemchukuwa kuwa mgeni wako usiku na bila aibu anakula chips, hata kuku robo hawezi kumaliza
4.Wengi hawana self-made capital zaidi ya inherited enterprises
5.Wanaume wa dar wanashangaa sana wanawake yaani unajiuliza utapitaje mbele yao wanavyokodoa

Note:Wanaume wa dar wapo kama wanaume wa ZAIRE
wape vidonge vyao,ngoma haikeshi bila viroba ,karibu huku kwetu kwa wala mihogo na asali mwitu.
 
Utafiti unasema average ya 30 to 35 percent ya wanaume walioenda kufanya check up Muhimbili wamejulikana hawana nguvu za kiume. Of course, wanaoenda Muhimbili kutibiwa sio wale wanaoishi Dar tuu. Lakini kuna utafiti mwingine uliofanyika Dar mwaka 2003 kwenye hosipital ya Tumaini Upanga kwa jina "Male infertility in Dar es Salaam" uligundua kuwa asilimia 24.9 tuu ya wanaume wanaoishi Dar Es Salaam walikuwa na nguvu za kiume.

Kuhusu mikoa mingine kuna utafiti ulifanyika Moshi mwaka 2006 kwa jina "Infertility in a community and clinic based sample of couples in Moshi district". Kwenye sample ya couples 269, asilimia 30 ya waume walikuwa na matatizo ya nguvu za kiume. Overall mimi naona tukubali tusikubali hili ni tatizo kwa nchi nzima. Lakini no doubt that Dar inaongoza na sababu zinajulikana.

Alieyanzisha huu uzi ana hoja fulani lakini kaiweka kiumbea.
Hahahahaha...........bold hapo wachagga wameshaingizwa tena!.... Hapo kwa red....NAUNGA MKONO HOJA!

Tukirudi kwenye mada: huyu MWANAUME WA DAR ni nani hasa? Je ni mzaramo? Mkwer.e? Msukuma aliyehamia Dar miaka mitatu iliyopita? mmasai aliyehamia Dar miaka 20 iliyopita? Je mzaramo aliyehamia Arusha miaka miwili iliyopita? Ni nani hasa tunaweza kumdefine kuwa huyu ndiye MWANAUME WA DAR?
 
tatizo lako nini haswaa,,,,,hao wa dar uliwaomba pesa wakasema hawana au walikuwa wanalilia dafu wakati hata kulifua hawezi? kote wapo......ila angalia usije ukawa huwataki wa dar kwa kuwa wana kufahamu nje mpaka ndani.
 
Unajuwa kosa kubwa nililolifanya ni kutokuangalia Joining ya date ya huyu mleta mada, maana humu kuna thread wa jinsi mwanamke kufika kileleni nadhani ungemsaidia zaidi huyu binti.
Maana haka kabinti kanaonekana ndio kamebalehe sasa ana hamu wa kupigwa mpini kama mbwa. kumbe Mwanamke aliepevuka anaweza akaridhishwa kimapenzi bila hata uume wa mwanaume kuingizwa kwenye k ya mwanamke.
 
tatizo la vijana wa dar ni stori makers tu, mara ikishindikana ntamtuma Muddy aende Commorro ila huyu anayetaka kumtuma Muddy commoro kila siku anakubeep.
Masikiniiiiiiiiiiiiiiiii we!!! mwe!! wamemwingiza mjini dada wa watu. POLE SANA
 
Hahahahaha...........bold hapo wachagga wameshaingizwa tena!.... Hapo kwa red....NAUNGA MKONO HOJA!

Tukirudi kwenye mada: huyu MWANAUME WA DAR ni nani hasa? Je ni mzaramo? Mkwer.e? Msukuma aliyehamia Dar miaka mitatu iliyopita? mmasai aliyehamia Dar miaka 20 iliyopita? Je mzaramo aliyehamia Arusha miaka miwili iliyopita? Ni nani hasa tunaweza kumdefine kuwa huyu ndiye MWANAUME WA DAR?

Babu itabidi mleta hoja afafanue ni mwanaume gani wa Dar anayem-refer. Lakini whether or not ni Mmasai alihamia Dar miaka 20 iliyopita, hakuondoi ukweli wa kuwepio kwa tatizo. Ndio maana nimesema mwanzoni kuwa mleta anaweza kuwa na hoja ya msingi lakini kaileta kiumbea.

Kwa kweli hili ni tatizo kubwa sana lakini taifa letu huwa haliangalii social problems like these. Tafiti zinadai nusu ya matatizo ya infertility yanasababishwa na wanaume. Hata hivyo, wakati idadi ya wanawake wanaonenda kuwaona gynaecologists imeongezeka, wanaume wengi simply don't bother hata pale madaktari wanapowashauri wake zao wawalete hosipitali. Hii inakuwa ngumu sana kwa gynaecologists kutatua hili tatizo. Matokeo yake mwanamke anaenda kuzaa na mwanaume mwingine, huku mumewe akidhani ni mtoto wake simply b'se ana-ejaculate.

Ni muhimu both kwa wanawake na wanaume wawe tested. Wanaume wengi wanaona aibu, lakini ni rahisi kupata matibabu kama tatizo likigunduliwa mapema. Bahati mbaya jamii yetu inaamini kuwa mwanaume anaye ejaculate anaweza kumpa mwanamke mimba. Hii sio kweli.

Pia watafiti wanadai wanaume wanachanganya kati ya erectile dysfunction and infertility. The fact that a man's penis doesn't function while in sterility, doesn't mean such man cannot ejaculate. Lakini tatizo wanaume wengi hawaendi kupima afya zao ili wafundishwe kwa udani haya mambo.

Mwulize mwanaume yoyote hata hao wanaochangia kwenye huu uzi, lini walienda kupima afya zao kwa ujumla? I mean general check up na sio lazima uwe unaumwa. Mtu anajahimiana na mwanamke anatoa shahawa basi anadhani anaweza kumpa mwanamke ujauzito. Wanawake wenye watoto wana siri nyingi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom