Aisee ni balaa! Hawezi salimikaMtu hajala ban kweli hapo?
Duh! Matusi mengine hata sijawahi sikiaHapo kinyeo chako tayari kimelowa.mbwiga mkubwa wewe
Huna hela ya kukinunua kafie mbali hukoNani atanunua hiyo takataka
Huu uharo watanunua hao wapumbavu waliokiandika na mabwana zao waliowapa pesa wajidhalilishe mbele ya uma wa wazalendo.Huna hela ya kukinunua kafie mbali huko
Non sense!
Kosa la JPM ni kuwekeza nchini kwake? Kwahiyo na yeye angeenda kujenga makasri huko ulaya?
Na kwa ujinga wa watanzania watazidi kumchukia ilihali wapo waliowekeza nje. Ni vile tubwao hatuwezi kuwa na ushahidi wa wazi kama ilivyo kwa hayati.
Kwa mfano mwizi anayeiba anajenga shule, anasaidia jamii hawzi kuwa sawa na mwizi anayeend akuhonga bar. ( Imenikumba korean movie-iljimae)😀👍
We huon maudhui ya kitabu ni msala wa kutosha kunyofoa roho ya mtu! Hawa wakina USSR Etwege nk si ndio wasiojulikana hawa! Bahati mbaya wamenyanganywa majukumu baada ya bandidu jiwe kufa! Wamebaki kuhangaika humu kama kuku anayetaka kutaga kwa mara ya kwanzaKitabu kizuri ila mmechelewa kuzindua Kwa miaka 2
where is meko now???Mnashindana ila hakika HAMTASHINDA.
kwa ufupi meko anapaswa afukuliwe hapo walipomzika ajarazwe viboko 12, alafu hiyo mifupa yake tuitupeee huko barabarani mbwa wale. uselessKiukweli nilitokea kumchukia sana hayati Magufuli hasa kwa mambo 'binafsi' hata kabla hajawa rais!
Ila pamoja na yote Magufuli alikua ana afadhali ukimlinganisha na Kikwete au Samia tuongee tu kwa kumtendea haki.
Ni nani hakupapendelea kwao nchi hii?
Nyerere na Mara? Nyerere na akina Butiku?
Mwinyi na Zanzibar/Mkuranga?
Mkapa na kusini?
JK?
Pili kuna haja gani ya kutumia rasilimali kubwa hivyo kuchapisha kitabu chenye maudhui yasiyo na msaada? Lengo ni kujifunza? Kama ni kujifunza si tunayo historia ya Gbadolite huko Zaire sasa DRC? Nani ana fadhili hayo na kwa maslahi gani?
Magufuli ni lost case kwa sasa haya hayatusaidii.
Mwisho tuwe makini sana na waandishi uchwara maana huu ni ulaji unatafutwa kwa mtu na ni njia ya kututoa kwenye reli.
ona na hiii nguruweee, meko ni mzalendo au gaidi???Aachwe apumzike! Kama serikali ya SSH itaendelea kuruhusu udhalilishaji huu dhidi ya kiongozi mkuu wa nchi mzalendo aliyetangulia mbele za haki basi wajue wanawakwaza watu wengi sana.
Kuna facts zimetolewa kuhusu positivity ya faida kweny hiyo miradi, nadhan tujikite kujadili kwa faida ya wengine. Wala hicho kitabu hakizungumzii mashindano na shujaa!!Mnashindana ila hakika HAMTASHINDA.
Wapumbavu badala ya ku deal na wizi wa sasa wa CAG wako Bize na marehemu tu ,naona group la ngurumo na meena hapo
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaliyojificha uwekezaji wa Hayati Dk Magufuli Chato yawekwa vitabuni
Ijumaa, Aprili 14, 2023
Dar es Salaam. Ikiwa ni miaka miwili tangu aliyekuwa Rais wa Tanzania, Dk John Magufuli kupoteza maisha Machi 17, 2021 akiwa madarakani, waandishi wakongwe wanne wamezindua kitabu kinachoonyesha sura ya kiongozi huyo na uwekezaji mkubwa alioupeleka wilayani Chato.
Absalom Kibanda, Ansbert Ngurumo, Neville Meena na Jesse Kwayu ndio waandishi walioandika kitabu hicho chenye jina 'I am the State' ikiwa na maana Mimi ndio Dola.
Kitabu hicho linaonyesha hali ilivyo sasa wilayani Chato alipozaliwa kiongozi huyo mkuu wa nchi baada ya miradi mikubwa ya maendeleo
Miongoni mwa mambo yaliyoangaziwa katika kitabu hicho ni wanyama waliopelekwa Chato enzi ya utawala wa Rais Dk Magufuli, ujenzi wa kiwanja cha ndege, uboreshaji mkubwa wa miundombinu, wananchi kukimbilia kununua viwanja, ujenzi wa masoko na miradi mingineyo.
Pia kitabu hicho kimeangazia fedha zilizopelekwa wilayani huko zitarejeshwaje, mpango wa wilaya hiyo kuandaliwa kuwa mkoa uko uliishia wapi.
Kabla ya uzinduzi wa kitabu hicho Ansbert Ngurumo amesema jina la kitabu limetokana na hofu iliyoshuhudiwa baada ya utawala wa hayati Dk Magufuli tangu mwaka 2015-2021 kuelekeza miradi mingi eneo alikozaliwa bila kuwepo mtu aliyehoji.
Amesema kilichofanyika ndani ya utawala wa Dk Magufuli ilikuwa ni historia ya kipekee kwani awamu zote za viongozi waliopita hapa nchini hakukuwa na kiongozi aliyefanya uwekezaji mkubwa eneo alilotoka.
Mbali na uwekezaji walioutaja kuwa na dalili zote za ubinafsi alioufanya kiongozi huyo, amesema upo ukandamizaji mkubwa alioufanya kwenye jamii na kutoa kauli zenye vitisho kuonyesha hakuna aliye juu yake.
"Kama mnafikiri mpo huru kiasi hicho watch it,"Kauli hayati Dk Magufuli enzi ya uhai wake ambaye imeleta tafsiri kwenye kitabu hicho namna ambavyo uongozi wake haukutetereshwa na kitu chochote.
Akizindua kitabu hicho Askofu wa Jimbo la Karagwe mkoani Kagera, Dk Benson Bagonza amesema uandishi wa kitabu hicho uwe chachu kwa viongozi wastaafu na walio madarakani kuandikiwa vitabu kulingana na mazuri na mabaya yao.
Amesema kitabu cha I am the State kinaonyesha namna fedha za umma zilivyotumika nje ya bajeti ya bajeti ya serikali.
"Mambo yaliyotajwa katika kitabu hiki yalitendeka nchi ikiwa gizani na watu walinyamazishwa na haya yaliyoandikwa ni sehemu ndogo ya yaliyotendeka nchi ikiwa gizani"amesema.
Hata sisi tulio dhulumiwa korosho tuna uhitaji wa eapot ya kimataifa ! Tena sisi huku tulikuwa na vitu vya maana kuliko bugiti sijui burigi! Huku kuna gesi , wanyama hapo seluo kwa hyo atleast wawekezaji na watalii watakuja na mwewe huku wakitokea direct kwao!Huu uharo watanunua hao wapumbavu waliokiandika na mabwana zao waliowapa pesa wajidhalilishe mbele ya uma wa wazalendo.
In eternal hell
"I am the State" bonge la TittleHuo ni upambavu wa kiwango cha SGR na kuna mtu kawalipa.Waongee lingine, kwenye suala la miradi hapo wamechemka!
Reli ya SGR inaenda Chato?Mradi wa Umeme Rufiji upo Chato?Bandari kavu ya Kwala ipo Chato?Mradi Ujenzi wa mji Mkuu wa serikali upo Chato?Ujenzi wa vituo vya Afya zaidi ya 300 vipo Chato?Kijazi Flyover ipo Chato?Mfugale Flyover ipo Chato?Barabara ya njia nne Kimara mpaka Kibaha ipo Chato?
Kwa uchache,Waandishi wameongozwa na chuki zaidi ya uhalisia.
JK mwenyewe alipeleka umeme Kijiji cha Hoyoyo, Mkuranga ambapo hakuna mradi wowote bali Umeme alipata Mkwewe Baba yake na Salma na shambani kwa mkewe!
Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo ambao alizindua mwaka 2014!
Inshort Kibanda na Ngurumo kama wamo humu jukwaani wajue wamejidharirisha akiwemo na Baba Askofu!.Ila Ngurumo nadhani stress za kukimbia nchi zinamsumbua!