From New York with peace..

From New York with peace..

TANMO

Platinum Member
Joined
Apr 12, 2008
Posts
12,136
Reaction score
12,862
Naona Mhishimiwa Rahisi yuko njema kwenye hizi pozi za Piiis...
IMG_4128.JPG
 
hiyo ni alama ya mabadiliko bwana peoplessssssssssssss
 
bankers wanataka posho yao pia kutoka shamba la bibi
nasdaq.jpg
 
du kweli mabadiliko yapo njiani mpaka 2015 atanyanyua juu hiyo peopleeeeeeeeeeeeeeeees powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
 
Duh mbaya kabis ahiyo bado atanyanyua kamkono kabisa
 
The nutcase thinks the Americans loves him kumbe they just use him simply because he is cheap,just for two or three pairs of suits he can offer them half of TZ land.
 
nataka niwaachie hawa pplz nikitamka wana magamba wataniua
we angalia vidole vyangu utanielewa!
 
mtu muongo utamjua tu.akiwa anaoongea hakwangalii machoni....
 
mtu muongo utamjua tu.akiwa anaoongea hakwangalii machoni....

Ayaaa, mkuu kuna swali nilikuwa najiuliza kuhusu tabia ya Ndugu Rahisi kukwepa direct eye contact...
Kumbe ni kwa sababu ya usanii.com!!!!
 
Back
Top Bottom