From my photo library, sijabadilika sana

From my photo library, sijabadilika sana

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,456
Reaction score
872,092
1408418822398.jpg
 
Physically hakuna mabadiliko ila Mabadiliko makubwa ni maskani. Kutoka Same-kisiwani sasa Mbagala rangi tatu!

Hahahahaaaa umekosea kidogo ni Tandale kwamtogole
 
Miwani bado unayo ikiwa kama kumbu kumbu?
 
Ulipata wapi miwani oversize?

Alinunuliwa ili akue nayo maana wazee wetu walikuwa wananunua kwa assumption atarefuka, mungu ni mwema ameitunza mpaka sasa na amebadilisha kioo (zamani kulikuwa hakuna mchina kinachotakiwa ilikuwa "kitunze kidumu" basi)
 
Back
Top Bottom