Mtego wa Noti
JF-Expert Member
- Nov 27, 2010
- 2,591
- 1,599
Hivi mtu unapotoka ngazi ya junior membe hadi kufikiangazi ya juu kama JF SeniorExpert Member hauhitaki kujipongeza ikiwa ni pamoja na kupongezwa na wanaJF wengine? Maana nilichogundua ndani ya JF ni ku-devote much of your time posting threads and comments, kitu ambacho ni kigumu.
Hivyo basi mtu anapopanda ngazi hizo tena kwa muda wa mwezi mmoja inaonesha ni kwa kiasi gani anavyofuatiliamambo ndani ya forum na kwa mtazamo wangu, mtu huyo anahitaji kupewa pongezi za pekee inagwa hata hii kupanda daraja ni pongezi mojawapo pia.
Au wenzangu wanaJF mnalionaje hili???? nawakilisha...