JF Senior Expert Member

Mwakalinga Bujo

JF-Expert Member
Oct 22, 2008
2,720
1,438
Nabisha hodi kwa mara ya kwanza jamvini.Imenichukua takribani miaka 3 kuweza kupata access ya acc yangu ya humu jamii forum.
Nadhani wengi wamejiuliza inakuwaje nimejiunga muda mrefu hivyo tokea 2008 lakini nilipoonekana mwaka huu 1st September 2011 bado ni Junior member .
Ilibidi nilipoweza kupata access ya acc yangu 1st September 2011 nisipige hodi nipige hodi nitakapotimiza vigezo/masharti ya kuwa JF Senior Expert Member kwani nastahili cheo hicho kwa muda niliojiunga na kuifahamu JF.Natumaini wadau wote tutashirikiana kwa njia moja ama nyingine katika kufanya majadiliano/ kutoa hoja kwa manufaa yetu sote ikiwa ni kujifunza ,kuelimishana,kuhabarishana hata ikibidi kufurahishana.
Naomba munipokee.
 
karibu
ftari1.jpg
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom