From Junior member to JF Senior Expert Member...huhitaji pongezi?

Kuwa JF expert member is more about quantity then quality. Na hata hiyo quantity I think it takes just about 100 posts. So siyo kitu cha kuji vunia sana. There are more "Senior expert members" then there are "Junior members" in JF. Ask yourself why?

mmmmh...hebu fafanua hapo. lakin nadhani quality pia ni muhimu...
 
Hivi mtu unapotoka ngazi ya junior membe hadi kufikiangazi ya juu kama JF SeniorExpert Member hauhitaki kujipongeza ikiwa ni pamoja na kupongezwa na wanaJF wengine? Maana nilichogundua ndani ya JF ni ku-devote much of your time posting threads and comments, kitu ambacho ni kigumu.
Hivyo basi mtu anapopanda ngazi hizo tena kwa muda wa mwezi mmoja inaonesha ni kwa kiasi gani anavyofuatiliamambo ndani ya forum na kwa mtazamo wangu, mtu huyo anahitaji kupewa pongezi za pekee inagwa hata hii kupanda daraja ni pongezi mojawapo pia. Au wenzangu wanaJF mnalionaje hili???? nawakilisha...

Issue siyo kujaza tu mi-thread ili mpande rank, posts zenu zina ubora? zina impact yoyote kwa jamii? Ni afadhali ukawa member wa kawaida mwenye kupost vitu vya maana kuliko ukawa premium member bingwa wa kupost upupu! (Anyway, ni mtazamo tu)
 
unachosema ni kweli...quality matters a lot...
 
Hivi mtu unapotoka ngazi ya junior membe hadi kufikiangazi ya juu kama JF SeniorExpert Member hauhitaki kujipongeza ikiwa ni pamoja na kupongezwa na wanaJF wengine? Maana nilichogundua ndani ya JF ni ku-devote much of your time posting threads and comments, kitu ambacho ni kigumu.
Hivyo basi mtu anapopanda ngazi hizo tena kwa muda wa mwezi mmoja inaonesha ni kwa kiasi gani anavyofuatiliamambo ndani ya forum na kwa mtazamo wangu, mtu huyo anahitaji kupewa pongezi za pekee inagwa hata hii kupanda daraja ni pongezi mojawapo pia. Au wenzangu wanaJF mnalionaje hili???? nawakilisha...

Hamna uchakachuaji hapo kweli? manake hata jk kala phd mbili ndani ya week mbili
 
Zamani tulikuwa tunaandikiana mashairi..

nilishawahi kumpongeza Mzee Mwanakijiji alipofikisha post 10,000 na Mkuu FMES alipofikisha 8,000/-

way back..jitahidi kukata nondo Mkuu na utajifunza Mengi
 
Sikuwa najua kuwa senior expert member maana yake ni kuwa umeweka post nyingi zaidi, na pengine hizo posts ni pumba tupu...hii term "senior expert" tumeidhalilisha, ipo haja ya kutafuta mbadala.
 
basi kwa kuzingatia umahiri na umakini wa post MS ateremshwe toka JF Expert Member hadi baby member hajakomaa kuwa hata junior member
 
QUANTITY vs QUALITY which matters the most jibu utakalopata hapo pigia mstari and then move ahead
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom