From Junior member to JF Senior Expert Member...huhitaji pongezi?

Mtego wa Noti

JF-Expert Member
Nov 27, 2010
2,591
1,599
Hivi mtu unapotoka ngazi ya junior membe hadi kufikiangazi ya juu kama JF SeniorExpert Member hauhitaki kujipongeza ikiwa ni pamoja na kupongezwa na wanaJF wengine? Maana nilichogundua ndani ya JF ni ku-devote much of your time posting threads and comments, kitu ambacho ni kigumu.

Hivyo basi mtu anapopanda ngazi hizo tena kwa muda wa mwezi mmoja inaonesha ni kwa kiasi gani anavyofuatiliamambo ndani ya forum na kwa mtazamo wangu, mtu huyo anahitaji kupewa pongezi za pekee inagwa hata hii kupanda daraja ni pongezi mojawapo pia.

Au wenzangu wanaJF mnalionaje hili???? nawakilisha...
 
mi najitahidi nipandishwe niwe Super MODERATOR au Assistant JF FOUNDER kabisa...sitaki dharau kabisa mwaka huu
 
mi najitahidi nipandishwe niwe Super MODERATOR au Assistant JF FOUNDER kabisa...sitaki dharau kabisa mwaka huu

Duuh, kazi kwelikweli,,,,.status ya founder ni ngumu maana imeshajaa, labda moderator... but keep it up..u may achieve your goal
 
Hivi mtu unapotoka ngazi ya junior membe hadi kufikiangazi ya juu kama JF SeniorExpert Member hauhitaki kujipongeza ikiwa ni pamoja na kupongezwa na wanaJF wengine? Maana nilichogundua ndani ya JF ni ku-devote much of your time posting threads and comments, kitu ambacho ni kigumu.
Hivyo basi mtu anapopanda ngazi hizo tena kwa muda wa mwezi mmoja inaonesha ni kwa kiasi gani anavyofuatiliamambo ndani ya forum na kwa mtazamo wangu, mtu huyo anahitaji kupewa pongezi za pekee inagwa hata hii kupanda daraja ni pongezi mojawapo pia. Au wenzangu wanaJF mnalionaje hili???? nawakilisha...

:typing:safi sana naunga hoja! tukaze buti
 
ndiyo maana siku nyengine nina ona post ni crup tupu kumbe mnatafuta JF senior Expert ohh ok sasa nimeelewa
 
Kuwa JF expert member is more about quantity then quality. Na hata hiyo quantity I think it takes just about 100 posts. So siyo kitu cha kuji vunia sana. There are more "Senior expert members" then there are "Junior members" in JF. Ask yourself why?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom