Kile kilikuwa damsite hatari Mathare, sasa kimegeuzwa kuwa children’s park ya bure, mahali salama ambapo watoto wanaweza kucheza, kujiexpress na kuwa watoto tu.
This transformation was led by a local youth group determined to reclaim space for the community.
Kwa ushirikiano na SHOFCO (Shining Hope for Communities), vijana walibadilisha eneo lililojaa uchafu na hatari kuwa safe space ya watoto, wakithibitisha kuwa youth power + community support = real change.
Hii ni ushahidi kwamba maendeleo haanzi downtown, inaanzia mtaa. When young people step up, watoto wanashinda, jamii inashinda.
Mathare si slum tu ni home, ni hope.