Hii inamaanisha nini? Kwa chama tawala kushuka kwa kasi ya ajabu ktk matokeo ya uchaguzi wa mwaka huu?kitu gan ccm wamejifunza kutokana na uchaguz huu.
Hii inamaanisha nini? Kwa chama tawala kushuka kwa kasi ya ajabu ktk matokeo ya uchaguzi wa mwaka huu?kitu gan ccm wamejifunza kutokana na uchaguz huu.
Kikwete ni OBAMA wa Tanzania yaliyompata bishoo mwenzake na yeye yaleyale, aliingia kwa mbwembwe sasa maji ya shingo wamarekani wantaka aishie muhura mmoja anawachelewesha kusonga mbele.
Afazali wewe umetoa ushauri wa maanamsisahau kata na majimbo waliyopoteza ccm kwa kasi ya ajabu! Kama jk ana akili aache kwenda kutalii nje ya nchi na kuendekeza umatonya, tutumie rasilimali zetu kuliko kutegemea misaada! Aache kuchanganya mambo ya dini na siasa, atavuruga amani ya nchi!
Kwani 61% ni ya kweli??????????????????????
Sorry but I completely disagree. President Obama is an intelligent man who made intelligent decisions based on unintelligent decisions made by his predecessor.
CCM on the other hand is a party that is being led by a man who is - for the lack of a better word - troubled. I'll leave it at that.
2015 will definately be less than 40% no matter who will be the candidate for Chama Cha Mafisadi/Majambazi
Hii inamaanisha nini? Kwa chama tawala kushuka kwa kasi ya ajabu ktk matokeo ya uchaguzi wa mwaka huu?kitu gan ccm wamejifunza kutokana na uchaguz huu.
Obama ni tozi tu! Kile kinachoitwa "Obama ni intelligent" ni kushindwa kupambanua kati ya intelligence na "Good Public Speaking." Na ubora wa Obama katika hotuba ni suala la vina na mizani. Hata Fid Q anaweza kuzungumza kama Obama, ni mashairi tu. Sema sisi watu weusi huwa tunapumbazika kwa ufundi wa kusema kuliko uwezo wa kutekelza na kuona mbali. Hebu niambie katika Ahadi za Obama za Kufunga Guantanamo ndani ya mwaka na kurudisha heshima ya Marekani kafanikiwa lipi?
Sorry but I completely disagree. President Obama is an intelligent man who made intelligent decisions based on unintelligent decisions made by his predecessor.
CCM on the other hand is a party that is being led by a man who is - for the lack of a better word - troubled. I'll leave it at that.
InamaanishaHii inamaanisha nini? Kwa chama tawala kushuka kwa kasi ya ajabu ktk matokeo ya uchaguzi wa mwaka huu?kitu gan ccm wamejifunza kutokana na uchaguz huu.