From 82% 2005 to 61% 2010.

TUNTEMEKE

JF-Expert Member
Jun 15, 2009
4,587
579
Hii inamaanisha nini? Kwa chama tawala kushuka kwa kasi ya ajabu ktk matokeo ya uchaguzi wa mwaka huu?kitu gan ccm wamejifunza kutokana na uchaguz huu.
 
Hii inamaanisha nini? Kwa chama tawala kushuka kwa kasi ya ajabu ktk matokeo ya uchaguzi wa mwaka huu?kitu gan ccm wamejifunza kutokana na uchaguz huu.

Mkuu hawa jamaa hawahitaji kujifunza, lengo lilikuwa ni kushika dola na limefanikiwa basi. Hata wangeshinda kwa 30% mradi lengo limetimia.
 
Kikwete ni OBAMA wa Tanzania yaliyompata bishoo mwenzake na yeye yaleyale, aliingia kwa mbwembwe sasa maji ya shingo wamarekani wantaka aishie muhura mmoja anawachelewesha kusonga mbele.
 
Kikwete ni OBAMA wa Tanzania yaliyompata bishoo mwenzake na yeye yaleyale, aliingia kwa mbwembwe sasa maji ya shingo wamarekani wantaka aishie muhura mmoja anawachelewesha kusonga mbele.

Sorry but I completely disagree. President Obama is an intelligent man who made intelligent decisions based on unintelligent decisions made by his predecessor.

CCM on the other hand is a party that is being led by a man who is - for the lack of a better word - troubled. I'll leave it at that.
 
msisahau kata na majimbo waliyopoteza ccm kwa kasi ya ajabu! Kama jk ana akili aache kwenda kutalii nje ya nchi na kuendekeza umatonya, tutumie rasilimali zetu kuliko kutegemea misaada! Aache kuchanganya mambo ya dini na siasa, atavuruga amani ya nchi!
 
Afazali wewe umetoa ushauri wa maana
 
Bila uchakachuaji kiuhalali kura za mkwere zilikua mil 1.3 asilimia 13. aibu kubwa kutoka 82% to 61% ya uchakachuaji!!!
 
Sorry but I completely disagree. President Obama is an intelligent man who made intelligent decisions based on unintelligent decisions made by his predecessor.

CCM on the other hand is a party that is being led by a man who is - for the lack of a better word - troubled. I'll leave it at that.

Obama ni tozi tu! Kile kinachoitwa "Obama ni intelligent" ni kushindwa kupambanua kati ya intelligence na "Good Public Speaking." Na ubora wa Obama katika hotuba ni suala la vina na mizani. Hata Fid Q anaweza kuzungumza kama Obama, ni mashairi tu. Sema sisi watu weusi huwa tunapumbazika kwa ufundi wa kusema kuliko uwezo wa kutekelza na kuona mbali. Hebu niambie katika Ahadi za Obama za Kufunga Guantanamo ndani ya mwaka na kurudisha heshima ya Marekani kafanikiwa lipi?
 
2015 will definately be less than 40% no matter who will be the candidate for Chama Cha Mafisadi/Majambazi

I support your sentiment but are you talking about them rigging to around 40%? You could either be generous or passing a hint to CCM to lower the score even further while maintaining the lead in order to appear more realistic. Do you think they really reached even that (40%) this time? Either they reform very drastically and recreate themselves or expect the unthinkable. Tanzania of 2015 will be harsher to looters and cheaters in leadership positions.
 
Hii inamaanisha nini? Kwa chama tawala kushuka kwa kasi ya ajabu ktk matokeo ya uchaguzi wa mwaka huu?kitu gan ccm wamejifunza kutokana na uchaguz huu.

I told you huyu JK hato shinda zaidi ya 61% ever.

Alibweteka sana na ile 82%, Wananchi kuwa na imani nae kuliko mawaziri wake na watendaji wengine katika sekta za serikali sasa matokeo yake ndio haya sasa.

ushindi ni ushindi tu hata kama ni wa goli moja.now shut up and get over it .kikwete ni raisi mkitaka msitake .tatizo lenu nyinyi machedema mlipiga kura kwenye mtandao badala ya kwenda kupiga kura vituoni.
na huyo kiongozi wenu dr slaa is too overrated hana lolote mr fat bastard.
 
Obama ni tozi tu! Kile kinachoitwa "Obama ni intelligent" ni kushindwa kupambanua kati ya intelligence na "Good Public Speaking." Na ubora wa Obama katika hotuba ni suala la vina na mizani. Hata Fid Q anaweza kuzungumza kama Obama, ni mashairi tu. Sema sisi watu weusi huwa tunapumbazika kwa ufundi wa kusema kuliko uwezo wa kutekelza na kuona mbali. Hebu niambie katika Ahadi za Obama za Kufunga Guantanamo ndani ya mwaka na kurudisha heshima ya Marekani kafanikiwa lipi?

Umechanganya vitu viwili tofauti kabisa. Kwanza unaquestion IQ ya Obama, which is nonesense. Unasema Obama ni mzungumzaji tu, ngoja tuangalie vitu vinavyomfanya mtu awe na high IQ.
IQ ya mtu inajulikana pale mtu anapozungumza au anapoandika, anapojibu maswali, record yake ya academic, utendaji wake wa kazi. Ukiangalia vitu hivyo utajua kwamba Obama anayo higher IQ kuliko average person.
Pili, katika kipindi cha utawala wa Obama, heshima ya Marekani imeweza kurudi sana kuliko ktk alichokuwa Bush. Obama keshasaini ufungwaji wa Guantanamo.

Quote from Pew Research

The image of the United States has improved markedly in most parts of the world, reflecting global confidence in Barack Obama. In many countries opinions of the United States are now about as positive as they were at the beginning of the decade before George W. Bush took office. Improvements in the U.S. image have been most pronounced in Western Europe, where favorable ratings for both the nation and the American people have soared. But opinions of America have also become more positive in key countries in Latin America, Africa and Asia, as well.
 
Sorry but I completely disagree. President Obama is an intelligent man who made intelligent decisions based on unintelligent decisions made by his predecessor.

CCM on the other hand is a party that is being led by a man who is - for the lack of a better word - troubled. I'll leave it at that.

Yeah, this (red) i accept but you must be in a good position to tell me on Obama's credibility and acceptance by the Americans, check on the latest opinion polls and the elections done on the other day and assess how Obama and his decisions are accepted by the true Americans.
 
Hii inamaanisha nini? Kwa chama tawala kushuka kwa kasi ya ajabu ktk matokeo ya uchaguzi wa mwaka huu?kitu gan ccm wamejifunza kutokana na uchaguz huu.
Inamaanisha

  • 2005 wanachi wengi tulicheza bahati nasibu. Tulitegemea atadeliver
  • 2005 ilikuwa rahisi kumpa jk sababu hauna base ya perfomrnace yake kuhukumu moja kwa moja.

Sasa

  • 2010 wanachi wamefumbuka Jk hana msimamo.
  • 2010 wananchi wamempa ujumbe JK wameshtuka Usanii wake. Mchana unawapeleka mafisadi mahakamani jioni unawaalika ikulu( Mramba,Chenge,etc)
  • 2010 wanachi wanasema bila ya CCM inawezaka( Mwanza, Dar etc).
kwa matokeo haya ya 2010 mabadiliko ya kweli yako njiani na si zaidi ya 10 yrs
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom