FROM 0 TO MILLIONS

FROM 0 TO MILLIONS

naliwe

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2013
Posts
474
Reaction score
1,062
Vijana wenzangu pambaneni bila kukataa tamaa hakika inawezekana, niliacha kazi ya kuajiriwa mwaka 2016,
Nilipitia magumu, lakini sikukataa tamaa
Hakika safari ilikua ndefu sana,yenye Kila aina ya machungu,Leo hii nimesimama imara Nina vijana zaidi ya 31 wenye elimu zao ambao familia zao zinafaidi matumda ya uvumilivu na machungu niliyopitia,narudia tena HAKUNA KUKATA TAMAA

Nakumbuka kuna kijana wakati napitia magumu aliniambia broo kwanini usirudi kwenu mbona naona kama unaweza hata kuchanganyikiwa,

Juzi jumanne nimekutana na yule kijana ofisi kwangu akiomba Ajira ya udereva ambazo nimetoka kuzitangaza week iliyopita
 
Mkuuu code ni kutokukata tamaa but unaweza ukatuelezea kidogo
 
Ukijidanganya ukamwajiri huyo kijana,

Atahakikisha unachanganyyikiwa Ili aseme nilimwanbia.
 
Back
Top Bottom