Friji linakula sana umeme

Friji linakula sana umeme

Watanzania wangeshauriwa vitu vya Umeme wanunue vipya, waachane na mitumba la sivyo wataingia gharama kubwa kwenye kulipia bili za umeme.

Acha kuhujumu uchumi wewe, kumbuka umeme ni biashara na serikali inapata chake.[emoji847]
 
Inategemea na aina ya compresor na mfumo kama ni compresor inayotumia gesi R 6000 hii compresor unaikuta kwenye frizer ambayo wastani wa umeme kwa 24 hrs ni 2 units

Ila kuna compresr za kisasa zaidi zipo kwenye magriji ya Lg na sumsung zina thermostanta na relay zinatumia umeme 24 unit 1.2 tu

Hivyo naweza kusema matumizi ya umeme friji moja na jingine yanatofautiana kulingana na muundo wake ,aina ya compresor ,gesi inayotumia na ukubwa wa friji
Voltage 230~

Frequency 50Hz

Wattage 75w

Current 0.35A

Defrost wattage 120w

Refrigerant type R600a

Refrigerant charge 49g

Mkuu naomba kujua hapo per 24hrs hiyo fridge itakula units ngapi za tanesco
Asante.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom