and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,496
- 40,328
Wapo vzrnakuona mzee wa kerege vp hawajambo wale mapacha wako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wapo vzrnakuona mzee wa kerege vp hawajambo wale mapacha wako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
et fridge likiwa ON kwa masaa 24 inabid itumie umeme kiasi gani kwa kawaidaHapo nachokushauri hiyo compresor badili relay yake ndio inaleta shida inafungua moja kwa moja badala ya kufungua na kufunga hivyo kusabbisha umeme mwingi kutumika
Option ya pili nunua compresor nyingine ya mtumba 80 k tu unapata funga friji linarudi katika hali yake
Hujanielewa bosi nilimaanisha matumizi hayazidi hizo unit 10 maana friji lina piga kazi na hizo units 10 haziishi zote tofauti na sasa hivi units 10 ndani ya nusu saa tu zimeisha.Du, 24hrs units 10!
Hata mimi nimejikuta najiuliza swali hilo hilo daaaah.Mnapataje muda wa ku-calculate kuisha units za umeme halafu ilinganishe na friji?
Nadhani hujanielewa, yaani hayo matumizi ya mwanzo kabla hata fridge haijakusumbua yalikuwa makubwa sana.Hujanielewa bosi nilimaanisha matumizi hayazidi hizo unit 10 maana friji lina piga kazi na hizo units 10 haziishi zote tofauti na sasa hivi units 10 ndani ya nusu saa tu zimeisha.
Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Wakati wako wa kumiliki friji bado. Uza hilo friji, ulilimiliki kimakosa.Nadhani hujanielewa, yaani hayo matumizi ya mwanzo kabla hata fridge haijakusumbua yalikuwa makubwa sana.
Mimi nina fridge na linawaka masaa yote 24 kwa siku na sijawahi kulizima, natumia pressure (rice) cooker kupika wali na saa zingine vyakula vinavyochelewa kuiva kama njugu mawe, maharage, mahindi.
Pia kila siku nachemsha maji kwa jagi lile la Umeme mara 4 lakini matumizi yanacheza kwenye units 3 hadi 4 kwa siku.
Kuna vitu vingine vya umeme natumia kama TV Kubwa, music system, pasi ya Umeme, taa ndani ya nyumba na nje(5) kwa ajili Ya security.
😂😂😂Usiogope mkuu umeme tunao wa kutosha pale Rufiji, usilinyanyase friji lako bure kwa kulibana bana... tunazalisha megawatts za kutosha hadi kuuza nchi za nje.
Inategemea na aina ya compresor na mfumo kama ni compresor inayotumia gesi R 6000 hii compresor unaikuta kwenye frizer ambayo wastani wa umeme kwa 24 hrs ni 2 unitset fridge likiwa ON kwa masaa 24 inabid itumie umeme kiasi gani kwa kawaida
Very trueWakati wako wa kumiliki friji bado. Uza hilo friji, ulilimiliki kimakosa.
Watanzania wangeshauriwa vitu vya Umeme wanunue vipya, waachane na mitumba la sivyo wataingia gharama kubwa kwenye kulipia bili za umeme.Inategemea na aina ya compresor na mfumo kama ni compresor inayotumia gesi R 6000 hii compresor unaikuta kwenye frizer ambayo wastani wa umeme kwa 24 hrs ni 2 units
Ila kuna compresr za kisasa zaidi zipo kwenye magriji ya Lg na sumsung zina thermostanta na relay zinatumia umeme 24 unit 1.2 tu
Hivyo naweza kusema matumizi ya umeme friji moja na jingine yanatofautiana kulingana na muundo wake ,aina ya compresor ,gesi inayotumia na ukubwa wa friji
Hatukingani uwezo !!Watanzania wangeshauriwa vitu vya Umeme wanunue vipya, waachane na mitumba la sivyo wataingia gharama kubwa kwenye kulipia bili za umeme.
Ni kweli ulichosema, fridge zilizopo hapa kwetu nazoziamini ni LG na Samsung.Next time ukitaka nunua friji achana na cheap product za china, tafuta hela chukua product zinazoaminika, china product wanaweka zile bomba za kupooza gesi za chuma, bora hii iliyo nje (nyuma ya friji) kuliko ile iliyo ndani ya body ya friji, ikipata kutu na kutoboka hapo friji litaanza kuwa kimeo, kampuni zinazojielewa wao hutumia materials za copper, hapo ni mkataba, copper haipati kutu
Mkuu tofauti ya gharama ni ndogoHatukingani uwezo !!
Yalikuwa madogo sana mkuuNadhani hujanielewa, yaani hayo matumizi ya mwanzo kabla hata fridge haijakusumbua yalikuwa makubwa sana.
Mimi nina fridge na linawaka masaa yote 24 kwa siku na sijawahi kulizima, natumia pressure (rice) cooker kupika wali na saa zingine vyakula vinavyochelewa kuiva kama njugu mawe, maharage, mahindi.
Pia kila siku nachemsha maji kwa jagi lile la Umeme mara 4 lakini matumizi yanacheza kwenye units 3 hadi 4 kwa siku.
Kuna vitu vingine vya umeme natumia kama TV Kubwa, music system, pasi ya Umeme, taa ndani ya nyumba na nje(5) kwa ajili Ya security.
Asante sana mkuu, endelea kumwaga shule tuelimike zaidInategemea na aina ya compresor na mfumo kama ni compresor inayotumia gesi R 6000 hii compresor unaikuta kwenye frizer ambayo wastani wa umeme kwa 24 hrs ni 2 units
Ila kuna compresr za kisasa zaidi zipo kwenye magriji ya Lg na sumsung zina thermostanta na relay zinatumia umeme 24 unit 1.2 tu
Hivyo naweza kusema matumizi ya umeme friji moja na jingine yanatofautiana kulingana na muundo wake ,aina ya compresor ,gesi inayotumia na ukubwa wa friji
Sawa kidukuliloWakati wako wa kumiliki friji bado. Uza hilo friji, ulilimiliki kimakosa.
Naona ameniambia mimi na sio wewe!!!!
Unit 8 nusu saa? Kuna kitu hapoMwanzo lilikuwa linatumia umeme wa kawaida tu ila baadae likaharibika likawa halileti ubaridi ikanibidi nimuite fundi ambaye baada ya kulitengeneza yaani ukiliwasha nusu SAA tu umeme unit 8 zinakatika, nimejaribu kuingea na huyu fundi anadai eti wiring nyumba ni mbovu na sio friji,
Ushauri wakuu,
Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app