'Friends of Regia' kukutana DSM Kumuenzi Regia (27 Jan 2012)

Mkuu hiyo imekaa kimagharibi zaidi!

Kamanda Skype ni media ya mawasiliano kama ilivyo MSN, yahoo, google talk nk. Only that Skype inafaa zaidi kwa Video au Voice Conferencing.

Tayari on Skype Online tuna watu 11 na ambao tayari wengine tumechat au kuongea.
 
Mkuu nakuunga mkono. Watu wameandika vitu vingi wengine hadi wamekuwa na mabifu humu. Wakikutana na bahati mbaya wakatambuana...!! Nadhani WanaJF kubaki undercover ni vyema.

Mkuu, Arusha wameshakutana mara nyingi. Pakajimmy ni mdau mkuu A-Town. MMU wanakutana mara nyingi. Wengine tunatumia hata ID zetu na baadhi tunafahamiana.

Nadhani ni suala la mitazamo tu.

Fanya ile kitu roho yako inapenda. No string attached.
 
Sawa mkuu ila ilikuwa mtazamo tu. Kuna watu hawatumii majina yao halisi kwenye ID ila wanaweza kuja tu bado wakawa undercover.
 
Kikao chenu hiki kije na kitu kama "Regia Mtema Foundation". Regia alikuwa akisaidia watu wengi kwa mapato yake ya Ubunge. Angalieni ndani ya Mwananchi ya leo ukurasa wa tatu. Hawa watu watahangaika sana kwa Regia kuondoka duniani ghafla namna hii.
 
Noted with thanks.

Wewe utashiriki vipi Mkuu?
 
Noted with thanks.

Wewe utashiriki vipi Mkuu?
Ushauri mdogo tu mkuu,msipuuze kuchukua tahadhari za usalama kwa members! How? Hatuwezi kujadili hapa.lakini influence ya JF kwenye siasa na tasnia ya habari ni kubwa sana hivyo fursa kama hii opportunist na "wabaya" lazima waitumie vizuri kuweka msingi.tahadhari ni muhimu tusijifariji eti hakuna hatari yeyote kwa kufananisha na tukio la msibani jana ambapo ni ngumu kujua nani ni nani! Mawazo yangu tu wakuu ktk kuboresha huo mkutano!
 
Sidhani kama ni vyema kusema kabisa mnakutana wapi,....wange thibitisha wanao taka kushirikithen kama wapo dar mkawa notify at lest 4hours kabla.It's not safe kujulikana JF members wanakutana wapi na lini.
kha jf members wamegeuka alshabab!!! we nae ww!!!
 
Ushauri mdogo tu mkuu,msipuuze kuchukua tahadhari za usalama kwa members! How? Hatuwezi kujadili hapa.lakini influence ya JF kwenye siasa na tasnia ya habari ni kubwa sana hivyo fursa kama hii opportunist na "wabaya" lazima waitumie vizuri kuweka msingi.tahadhari ni muhimu tusijifariji eti hakuna hatari yeyote kwa kufananisha na tukio la msibani jana ambapo ni ngumu kujua nani ni nani! Mawazo yangu tu wakuu ktk kuboresha huo mkutano!

Point taken.

Itabidi tuunde kamati ya maandalizi. Definetely.

Respect Mkuu.
 
Back
Top Bottom