Friends Of Lowasa Ndani Mlandizi Jumamosi

ngogo

JF-Expert Member
Oct 19, 2012
359
54
Wapambe Wa Waziri Mkuu Aliyejiuzuru Kutokana Kuhusika Na Ufisadi Wa Kampuni Ya Richmond Edward Lowasa Siku Ya Jumamosi Tarehe 28/02/2015 Saa 7:00 Mchana Watakuwa Na Kikao Na Baadhi Ya Makada Na Vijana Hapa Mlandizi, Kwa Mujibu Wa Ujumbe Mfupi Wa Maandishi Uliotumwa Kwa Walengwa Kikao Hicho Kitafanyika Katika Ukumbi Wa Msukuma Mtongani Hapa Mlandizi, Habari Za Uhakika Kutoka Kwa Baadhi Ya Wanaoratibu Zoezi Hilo Kuwa Kikao Hicho Kina Lengo La Kujenga Mtandao Utakaorahisa Azma Ya Lowasa Kuwa Rais Wa Tanzania Kwa Gharama Yeyote Ile, Katika Kikao Hicho Lowasa Hatokuwepo Kwa Kukwepa Mkono Wa Chama Chake, Bali Kitaendeshwa Na Timu Yake Inayozunguuka Nchi Nzima, Walioalikwa Watalipwa Nauli, Chakula Na Vinywaji, Haya Shima Watu Wa Mlandizi Changamkieni Tenda Hiyo.
 
Ndege wafananao huruka kwenye kundi moja, mafisadi wafananao upanga mipango yao pamoja
 
Wapambe Wa Waziri Mkuu Aliyejiuzuru Kutokana Kuhusika Na Ufisadi Wa Kampuni Ya Richmond Edward Lowasa Siku Ya Jumamosi Tarehe 28/02/2015 Saa 7:00 Mchana Watakuwa Na Kikao Na Baadhi Ya Makada Na Vijana Hapa Mlandizi, Kwa Mujibu Wa Ujumbe Mfupi Wa Maandishi Uliotumwa Kwa Walengwa Kikao Hicho Kitafanyika Katika Ukumbi Wa Msukuma Mtongani Hapa Mlandizi, Habari Za Uhakika Kutoka Kwa Baadhi Ya Wanaoratibu Zoezi Hilo Kuwa Kikao Hicho Kina Lengo La Kujenga Mtandao Utakaorahisa Azma Ya Lowasa Kuwa Rais Wa Tanzania Kwa Gharama Yeyote Ile, Katika Kikao Hicho Lowasa Hatokuwepo Kwa Kukwepa Mkono Wa Chama Chake, Bali Kitaendeshwa Na Timu Yake Inayozunguuka Nchi Nzima, Walioalikwa Watalipwa Nauli, Chakula Na Vinywaji, Haya Shima Watu Wa Mlandizi Changamkieni Tenda Hiyo.

Hujui ulitendalo
 
Kumbe anaenda kukutana na mafisadi wenzake labda akagombea uraisi wa WAMA atapata na hizo pesa anahonga Mungu atamlaani bora angepeleka kwenye vituo vya kulea watoto yatima
 
Mpaka Mpate mgombea lazima manundu yatakua mengi

Mkuu kwa santuri hii Kazi wanayo ImageUploadedByJamiiForums1424897173.994420.jpg
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kila rakheri raisi wangu Lowassa. siku zinachelewa sana.

Labda raisi wa ukoo wenu na familia yenu watanzania hatuwezi kuchagua viongozi wa ccm hasa Lowasa kuwa raisi wa tanzania hana sifa wala maadili
 
kama yeye anajiona anafaa mbona anahonga sana nyie mnaojiita friends of nn hamjiulizi huyo anayetaka urais kwa kuhonga mabilion anafaa kuwa rais au ndio atakuwa shida zaid ya huyu aliopo jipimen kwanza kabla ya kutumika
 
tanzania ina watu wawili tu wenye sifa za kuwa rais,lowassa na zitto kabwe waliobakia wana hadhi ya kuwa wabunge tu kina mzee siraha
 
kama yeye anajiona anafaa mbona anahonga sana nyie mnaojiita friends of nn hamjiulizi huyo anayetaka urais kwa kuhonga mabilion anafaa kuwa rais au ndio atakuwa shida zaid ya huyu aliopo jipimen kwanza kabla ya kutumika

Mkuu;

Hivi unaijua Pesa kweli? Pesa ni nouma sana. Vijana (team-pumbafu) hutoka majumbani kwao my-wife wao ametenga chungu cha ugali.

Mboga watachuma kwa Lowasa. Ni nuksi sana mamvi huyu.

I hope PINDA can rescue the situation among all CCM said candidates.
 
Back
Top Bottom