mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 22,538
- 45,067
Kwa kuzungumza tu, ila ukweli unao wwhapana I can't cheat my feelings ...!
Kwa kuzungumza tu, ila ukweli unao wwhapana I can't cheat my feelings ...!
Basi unipe kbs kabla ya ....hapana I can't cheat my feelings ...!
Inategemea na chanzo cha kuachana!,pengine ulipewa taarifa za uongo kumhusu,na wewe kwa hasira mkaachana,je badae ulipogungua zile taarifa hazina ukweli!...hamuwezi rudiana?..aiseehh!kuna watu wanajua kuudhalilisha utu wao jamani...!!
Mimi siwezi jamani..turudiane au kila mtu ashike njia yake!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Niko commited now I can't..Basi unipe kbs kabla ya ....
Dah!...[emoji24] [emoji24] [emoji24][emoji23] [emoji23] [emoji23] Niko commited now I can't..
haijawahi kutokeàInategemea na chanzo cha kuachana!,pengine ulipewa taarifa za uongo kumhusu,na wewe kwa hasira mkaachana,je badae ulipogungua zile taarifa hazina ukweli!...hamuwezi rudiana?..
Tatizo ana ukame wa vipindi na huwa anakosa wakumtoa ugwadu,ndio sbabu kamuomba huyo bwana wawe wanafanya ila sio kama mtu na mpenzi wake au vipi,maana ukame sio mchezo mamii.If he/she don't want relationship, don't give him/her relationship benefits.
Period
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Dah!...[emoji24] [emoji24] [emoji24]
Unanicheka....sawa bwana..[emoji46][emoji46][emoji23] [emoji23] [emoji23]
hapana..am sorry [emoji120] [emoji120] [emoji120]Unanicheka....sawa bwana..[emoji46][emoji46]
Mie yangu macho nasubiri kuona km kwelihapana..am sorry [emoji120] [emoji120] [emoji120]
It does not work mzee.'friends with benefits
Two friends who have a sexual realtionship without being emotionally involved. Typically two good friends who have casual sex without a monogomous relationship or any kind of commitment.'
Aisee... hii ina work kweli. ?? Mwenye uzoefu na hii kitu ateme hapa.
[emoji3] sawa bwana...niombeeeMie yangu macho nasubiri kuona km kweli
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ni ngumu!It does not work mzee.
I have been there, na tumeishia kuwa in a love relationship. Kila mmoja alianza kumuonea wivu mwenzie.
Hehehehe...nikuombee....[emoji3] sawa bwana...niombeee
Ha ha ha, ngumu sana...tena sisi tulianza na mbwembwe za "dont fall in love with me" lakini kadri siku zilivokwenda, wivu na ugomvi usiokuwa na maana ukaanza.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ni ngumu!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mapenzi kitu kingine...Ha ha ha, ngumu sana...tena sisi tulianza na mbwembwe za "dont fall in love with me" lakini kadri siku zilivokwenda, wivu na ugomvi usiokuwa na maana ukaanza.
Nafuata hapo nyuma kama fisi halaf niombe na dua tenandio niombee
litokeee...salama salmini
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dah aiseeh...!Nafuata hapo nyuma kama fisi halaf niombe na dua tena
[emoji8][emoji7]