Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,380
- 56,088
not used to stay single....!!Afraid....!
So u wntd to gt back on the game ASAP?!
This new guy woz dea b4 all that shi...
nope hivi karibuni tuuu

not used to stay single....!!Afraid....!
So u wntd to gt back on the game ASAP?!
This new guy woz dea b4 all that shi...

Hamna....u cnt convice me jst out of nowhere hez there to grab unot used to stay single....!!
nope hivi karibuni tuuu![]()
![]()
![]()
Hamna....u cnt convice me jst out of nowhere hez there to grab u
likewise ur duing to me...But .....
nope...tell me!U knw wot i mean....![]()
![]()
Hii kitu inanifurahisha sana, x wangu anaomba tuwe friend for benefit yaani ninapomuhitaji muda wowote anakuja tunafanya yetu kisha anasepa ila hataki tuwe official kimapenzi kwakuwa anadai hataki stress za mapenzi maana alishaumizwa vya kutosha.
Sasa swali langu jamani mwisho wa huu mchezo ni nini maana kuna muda hua namuonea wivu nikimkuta anaongozana na mwanaume mwingine japo sijui kama yeye hua ananionea wivu akinikuta na msichana,
Kwa yeyote mwenye ushauri juu ya friends for benefit naomba maoni tafadhali maana sielewi mwisho wake ni nini...,
Mkuu it works.....ishu hapa ni kwamba mnakua hamuonani mara kwa mara....otherwise mtamu generate feelings.......'friends with benefits
Two friends who have a sexual realtionship without being emotionally involved. Typically two good friends who have casual sex without a monogomous relationship or any kind of commitment.'
Aisee... hii ina work kweli. ?? Mwenye uzoefu na hii kitu ateme hapa.
AISEEEEE!
mmh! lakini ... ntakuambiasitaki ujinga kabisaaa ni bora kuwa single kuna faida yake kuliko kuwa kwenye relation isiyokuwa na faida
Hahaaaaaaamna moyo wa nyama kurudiana na x wako...kamwe badani sitorudiana nae .,..kama angekuwa ananiona nina umuhimu kwake asingeniacha angeendelea kubaki na mim sasa sialiniona simfai ..sasa nimrudie wa nin..hakika moyo wangu ni wa chuma SEMA HAPANA KURUDIANA NA ALIYEKUWA MPENZI WAKO..PIGA VITA KURUDIA MATAPISHI ..SAYA NO..SAYA NO TO EX -LOVERS...