Friends for benefit..,

Friends for benefit..,

Ila amin kuna watu kwanzia mnapokutana mmeongea kabisa hatuoani tunanjanjuana tu nna wife una husband picha kwisha
Na huyo wife na husband nao wana friends with benefits, mwe, ni karibu UKIMWI kwa kwenda mbele.
 
Na huyo wife na husband nao wana friends with benefits, mwe, ni karibu UKIMWI kwa kwenda mbele.

Kinga zipo mpaka za bure HAHAHAHAAHAHA so ulijuwa ukiolewa mumeo ni wako mwenyewe ? hahahahaah aasalale

Tuache tu
 
Sasa kilichowafanya mkaacha hapo awali ni nini?! hadi mnaanza kuitana ma ex, Mara friend with benefit....tupe stori kamili tupate picha kamili then tukupe ushauri kamili.
 
1. FRIEND OF BENEFITS - marafiki lakini mkiombana hamnyimani japo kila mtu ana mpenzi wake
2. FRIEND WITH BENEFITS - mnakuwa wapenzi lakina hakuna future ya kuoana ni kwa ajili ya kutoana hamu tu
3. FRIEND FOR BENEFITS - unampenda mtu kwakuwa umeona ana kitu fulani japo huna mipango naye
 
Mwisho wa mchezo huo ni waliobet kuangalia kama mkeka umechanika au la!
 
mnambambikia mume mtoto sio wake

Yes / no yote majib ila huu ulimwengu ni full sarakasi na nitangia enzi na enzi VIRUNJE vilikuwepo sahiz ndio watu wamekuwa wakali ila vilikuwepo na vitaendelea kuwepo
 
mna moyo wa nyama kurudiana na x wako...kamwe badani sitorudiana nae .,..kama angekuwa ananiona nina umuhimu kwake asingeniacha angeendelea kubaki na mim sasa sialiniona simfai ..sasa nimrudie wa nin..hakika moyo wangu ni wa chuma SEMA HAPANA KURUDIANA NA ALIYEKUWA MPENZI WAKO..PIGA VITA KURUDIA MATAPISHI ..SAYA NO..SAYA NO TO EX -LOVERS...
Engineer sio mtu mzuri na alichokifanya hakikua kitu kizuri hakika ...ila mwachie Mungu vyote
 
Hii kitu FWB ni rahisi kuitamani kwa wake na waume lakini wengi inawashinda na inasemekana hasa wanaume ndiyo wanashindwa kwa sababu ya wivu. Kwa maoni yangu hata wanawake nao huona wivu lakini labda wana uwezo mkubwa wa kuficha wivu wao na hivyo kuuchuna.

Hii kitu inanifurahisha sana, x wangu anaomba tuwe friend for benefit yaani ninapomuhitaji muda wowote anakuja tunafanya yetu kisha anasepa ila hataki tuwe official kimapenzi kwakuwa anadai hataki stress za mapenzi maana alishaumizwa vya kutosha.
Sasa swali langu jamani mwisho wa huu mchezo ni nini maana kuna muda hua namuonea wivu nikimkuta anaongozana na mwanaume mwingine japo sijui kama yeye hua ananionea wivu akinikuta na msichana,
Kwa yeyote mwenye ushauri juu ya friends for benefit naomba maoni tafadhali maana sielewi mwisho wake ni nini...,
 
mna moyo wa nyama kurudiana na x wako...kamwe badani sitorudiana nae .,..kama angekuwa ananiona nina umuhimu kwake asingeniacha angeendelea kubaki na mim sasa sialiniona simfai ..sasa nimrudie wa nin..hakika moyo wangu ni wa chuma SEMA HAPANA KURUDIANA NA ALIYEKUWA MPENZI WAKO..PIGA VITA KURUDIA MATAPISHI ..SAYA NO..SAYA NO TO EX -LOVERS...
Nina wasiwasi na utekelezaji wa msimamo wako kivitendo sio kinadharia
 
Back
Top Bottom