To yeye
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 20,214
- 37,934
🤣🤣🤣🙌🏾Kumradhi😅
🤣🤣🤣🙌🏾Kumradhi😅
Wewe umeokoka mwaisa?🤣🤣🤣🙌🏾
Nipo serengeti ya pili aisee,sijui nipite nazo ngapi hapa🤒Wewe umeokoka mwaisa?
15 kwa mdada sio mbayaNipo serengeti ya pili aisee,sijui nipite nazo ngapi hapa🤒
😳sidhani kama upo serious kijana….siku nikiamua kunywa sijawahi zidi 3😶15 kwa mdada sio mbaya
Huyo dada macho yake yanazunguka kwenye mifuko ya jamaa kama propelaBwana Chivundu unacheka tu njoo huku tudinye life😁
Week imekuwa ndefu sana hii!
View attachment 3585804
😂😂😂jamani🤣Bwana Chivundu unacheka tu njoo huku tudinye life😁
Week imekuwa ndefu sana hii!
View attachment 3585804
Serengeti si kinywaji cha kutumia kukata hangover asubuhi?😳sidhani kama upo serious kijana….siku nikiamua kunywa sijawahi zidi 3😶
Du dompo inanuka vibya siipendi kabisaMi ni dompo,redds na serengeti …vingine siviwezi au sijawahi
Pole sana,mi ndiyo sometimes napita nayo hiyoDu dompo inanuka vibya siipendi kabisa
Hauko serious na unywaji wako au usikute ni hansons choice halafu tunakushangaa🫢😳sidhani kama upo serious kijana….siku nikiamua kunywa sijawahi zidi 3😶
Mi siyo mnywaji,nilijifunza 2021 na ninaelekea kuachq cuteHauko serious na unywaji wako au usikute ni hansons choice halafu tunakushangaa🫢
Anaangalia kama atapewa chake mapema, baadae hahitaji usumbufu!Huyo dada macho yake yanazunguka kwenye mifuko ya jamaa kama propela
Hanson choice ile gin ya kipumbavu sanaHauko serious na unywaji wako au usikute ni hansons choice halafu tunakushangaa🫢
Hongera sana binti mstaarabu, kuna watu wanatembea na tbl kichwani humu🙌🏾Mi siyo mnywaji,nilijifunza 2021 na ninaelekea kuachq cute
Nikikata tuwili huwa nachekacheka😆Hanson choice ile gin ya kipumbavu sana
Kwa mils ngapNikikata tuwili huwa nachekacheka😆
😂😂😂mi simo ngoja wakufume na comment yakoHongera sana binti mstaarabu, kuna watu wanatembea na tbl kichwani humu🙌🏾
Zile ndogoKwa mils ngap