French intelligence: Syria has over 1,000 tons of chemical agents

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093
The Syrian chemical weapons stockpile includes more than 1000 tons of agents and precursor chemicals, making it one of the largest in the world, a declassified French intelligence report says. The report notes that the Syrian chemical weapons program poses a major global threat in terms of weapons of mass destruction proliferation.

This document has been produced through declassified intelligence mostly drawn from French-only sources. It includes a thorough technical analysis performed on open sources by our intelligence and technical services. It integrates, finally, some complementary elements received through cooperation with our closest partners.

Syria detains one of the world’s most important operational chemical weapons stockpile, accumulated within the framework of a long-standing and diversified program, which has been monitored for a long time by French and partner intelligence services. This program is one of the main threats in terms of weapons of mass destruction proliferation. Countering the threat stemming from WMD proliferation is a key objective for our defence, as stated again in the recent French White paper on defense and national security.

In combats against the opposition, President Assad’s regime has already used such weapons, including sarin, in limited attacks against the population, in particular in April 2013.The analysis of information we have now gathered leads us to consider that, on August 21, 2013, the Syrian regime has launched an attack on some suburbs of Damascus that were being held by the opposition forces, using together conventional means and a large amount of
chemical agents.

Read more: French intelligence: Syria has over 1,000 tons of chemical agents - Alarabiya.net English | Front Page

The full report in PDF :

http://www.defense.gouv.fr/content/...tive summary of declassified intelligence.pdf
 
Huu ndio uzabazabina wa Wafaransa, kujitia kimbelembele sijui kwa kuwa Syria iliwahi kuwa koloni la Ufaransa! Silaha za kemikali hata Israel inazo mbona hawasemi wakimaliza kuteketeza silaha za Syria basi wagehukie za Israel ambayo ina silaha za mahangamisi ambazo ni za kemikali na Nuclear nchi nyingine yenye aina mbili ya silaha za mahagamizi ni hizi zifuatazo: Ufaransa, Uingereza, Merikani, Urusi na China, hizo mbona hawazisemi?
 
Kimfumo, hawa ni wakubwa wa dunia ndiyo maana hakuna anayeweza kuwapigia kelele hata wakifanya majanga kwa wenzao. Kwa kifupi naweza kusema hivyo.
 
Mkuu najua mfumo ni mbaya na ndio maana kila nchi ambayo inaona nchi jirani ina silaha za Nuclear basi wao wanakimbilia kutengeneza silaha za mahagamizi ya halahiki i.e kemikali ambazo uhitaji ujuzi wa hali ya juu kuzihunda ukilinganisha na silaha za nuclear, ndio maana silaha za kemikali zinajulikana kama a poorman's mass killing bomb kutokana na uwezo mkubwa wa kuwa deterrent ya nchi zenye Nuclear bombs mfano Israel, kama Syria isingekuwa na silaha za kemikali Israel ingeweza kuivamia Syria siku nyingi tu - ndio maana Israel imekazania kuzipa shinikizo nchi za magharibi specifically USA zichukue hatua kali kui-disarm Syria silaha za kemikali. Leo hii nchi za kiarabu zilikuwa na mkutano wa kutaka kuishinikiza International Community iwashinikize wa Israel waharibu silaha zao za mahagamizi i.e Nuclear na Kemikali, cha kushangaza nchi za magharibi zinaonekana zinatumia kila mbinu za kuikingia kifua Isreal - sasa hizi double standard ndizo zina sababisha arm race hisiyo ya lazima, kila nchi inataka ijilinde dhidi ya mhasimu wake. Labda niongezee hapa kwamba Syria ilikuwa na silaha hizi tangu miaka za sabini na walikuwa hawajawahi kuzitumia in anger - kwa hiyo wanaosema uwezi kumpa kichaa silaha hoja hiyo siya kweli, Syria imekaa na silaha hizo zaidi ya miaka arobaini wakijihami dhidi ya ma adui wake specifically Israel kwa mafanikio makubwa sana.
 
Hao wenye akili ndio watu wa kwanza kutumia atomic bomb kule hiroshima na nagasaki na kuua mpaka leo!Au unasemaje hapo!Galatia usie na haya we!
Mkuu unafikiri ni nuclear bombs tu, wamewahi vile vile kutumia chemical na biological bombs kuhagamiza binadamu wenzao, wametumia njia mbadala kuwamaliza Marais na watu wengine wanao waona ni tishio kwa maslahi yao mfano: Patrice Lumumba, Salvador Allende, Morris Bishop, Che Guevara, Mohammad Mossadegh, Walter Rodney, Hugo Chaves - and the list goes on and on. Binadamu aliye shinda njama zao za kumuua ni Fidel Castro tu, Rais Kennedy alijaribu sana kumuua Castro - watu wengine usema Castro na Warusi walipo choshwa na njama za Kennedy waliwakodi ma marks men wampige risasi Kennedy,niliwahi kuangalia video clip ya mauuaji ya Kennedy huko Texas inaonyesha wazi wazi hakupigwa risasi na mtu mmoja kama vanavyo dai. Mpaka sasa hivi hakuna aliye wahi kuhoji ilikuwaje Raia wa Kimerikani aliyewahi kuishi Urusi kwa muda mrefu na kumuoa mwana dada wa Kirusi ndiye alikamatwa kuhusiana na mauuaji ya Kennedy, lakini muuaji huyo alipigwa risasi kwenye mazingira ya kutatanisha wakati akipelekwa mahakamani ili siri isifichuke. Watu wasio na uelewa wa historia ya jamaa hawa ndio wanawapigia debe humu, cha muhimu ni kuwa makini nao na infact wana msemo wao " Hawana urafiki wa kudumu badala yake wanajali maslahi ya kudumu" na kweli - mifano ya kudhilisha usemi wao tunao.
 
Mkuu maelezo yako murua kabisa!
Na kila binaadamu mwenye akili timamu anayaona hayo!
Sina budi kukupa "like"

Sasa sijui huyu Eiyer kinachomfurahisha ni nini akiona hao viongozi wa imani yake wanavyouwa watoto na watu bila hatia!
Au sijui ndio andiko lake linamfundisha kufanya hivyo!?
Au huenda ubongo uko likizo!?
I really don't know!

Manake umaskini pia unachangia sana kuwa kipofu wa haki!
Sasa hawa wenzetu wenye kuwasifu hao wazungu hassa wamarekani huenda ikawa rizki zao wanawategemea wao!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu maelezo yako murua kabisa!Na kila binaadamu mwenye akili timamu anayaona hayo!Sina budi kukupa "like"Sasa sijui huyu Eiyer kinachomfurahisha ni nini akiona hao viongozi wa imani yake wanavyouwa watoto na watu bila hatia!Au sijui ndio andiko lake linamfundisha kufanya hivyo!?Au huenda ubongo uko likizo!?I really don't know!Manake umaskini pia unachangia sana kuwa kipofu wa haki!Sasa hawa wenzetu wenye kuwasifu hao wazungu hassa wamarekani huenda ikawa rizki zao wanawategemea wao!
Don't mention mkuu, vitu vingine mkuu ni vyema ukavi-ignore ili u-conserve Kilocalories zako, kuliko kuji-Indulge in unhelpful open ended urguments ambazo ziko highly skewed. Siku moja niliwahi kushuhudia kwenye Kongamano fulani huko North West i.e Manchester - Mpalestina mmoja alitoa tumko lililo mgusa kila msikilizaji aliye udhulia kongamano hilo, alisema hivi "Nchi za magharibi na vyombo vyake vya habari wakati mwingine uthamini vitu vya ajabu sana - mfano: Wako radhi kuchukua siku nzima wakionyesha kwenye luninga/Radio paka/mbwa aliye kwama kwenye mtaro wa maji machafu, lakini vyombo hivyo hivyo hukaa kimya au utangaza habari za upotoshaji wakati watoto, wakina mama, vikongwe wa Kipalestina wanapo pigwa mabomu na ndege za Israel in a very dispropotionate manner wakati mwingine utumia depleted Uranium ku-demolish majumba ya Wapalestina, hardened tunnels na bunkers bila ya kujali madhala ya miozi ya radioactive yanayo sababishwa na mabaki ya mabomu hayo hatarishi, madhala yake yanabaki active aridhini kwa takribani miaka sabini, na kusababisha Wapalestina ambao wako-affect na mionzi hiyo kuzaa watoto ambao ni mutant na wengine wanapata magonjwa ya cancer - kumbuka hawa ndio manabii wakuu wanao preach Duniani haki za binadamu na umuhimu wa demokrasia. Swali ni je, jamaa hawa wana-practice wanacho preach au wanahadaa DUNIA!!
 
mkuu wangu hapo umepiga ikulu! watu kama nyie ulimwengu huu unawahitaji sana kuwaelkeza hawa vibaraka kama Nicholas na huyo Eiyer, wanafuata kila mzungu anacho kisema, hata ikiwa kitawagombanisha na wazazi wao. and the very same people wanajisifu na kusifiwa na hawa vibaraka wao kuwa ni taifa teule lililopewa GURANTEE NA MUNGU KUWA LITAINGIA KTK UFALME WA MUNGU!, I cant make any alterations in your comments my friend. big up! Bukyanagandi
 
Haha kuna tofauti sana kat ya Uzungu na Ukristu..wazungu nao wanajivunia Ukristu kuwa uliwastaarabisha na baadae wakaupa kisogo na kuendekeza wayajuayo kw akisais cha kuwapa atheist,humanist and free masons, liberal nguvu za kutosha anza upinga vita Ukristu..ila ugaidi wa waislam ndio unawaaamsha kuwa si kila tamaduni dunia ni utamaduni.

Ukristu wangu unafungua fikra yangu kw akiasi cha kuweza ona universala values....universal values ndizo zinashikilia watu, ndio zinazojenga sheria nyingi za nchi...Ni kunipitia hizo values ndio unaona kuna vitu mimi naweza kuwa na fikra kam za mazungu.ILA NI UPUUZI NA UTUMWA WAKO NDIO UNAFANYA UDHANI KWA VILE MIMI NI MTU MWEUSI BASI NITAKUWA KIBARAKA..UISLAM WAKO HAUKU[I FIKRA KUWA HATA MWEUSIE ANAWEZA KUWA KIONGOZI WA WAZUNGU NA BOGUS WENGINE KM WAARABU..A GOOD THING WAZUNGU WAPO WANAOTUMIA KAILI ZAO SANA KWA KIASI CHA KUWEZA WAPA EDGE..INSTEAD YA KUWACHUKIA JARIBU JIFUNZA KWAO.

ISRAEL IMEPEWA JINA NA MUNGU, SIJUI HATA KAM ARABIA PALIPEWA JINA NA SI TUU MUNGU WA ISRAEL HATA WA AL KAABAH GAKUIPA ARDHI YA ARABIA JINA...WALA MIPAKA.
 
Unajisuta mwenyewe!
Wewe mpaka kesho picha ya mungu unaemuabu INA PICHA YA MZUNGU!

Aliyekuletea wewe ukristo huko africa ni MZUNGU!

YULE SANAMU ALIYEKO KWENYE MSALABA NI MZUNGU!

Wafadhili wa kanisa kuu na wawakilishi wenu duniani ni WAZUNGU!

KIONGOZI WA KANISA LENYE WAFUASI WENGI DUNIANI TOKA LIMEANZISHWA MIAKA ALFU KADHAA ILIYOPITA VIONGOZI WAKE WOOOOOTE NI WAZUNGU!

Yaani kwa kifupi wewe kuwakataa wazungu ni SAWA NA KUMKATAA YESU!

Sasa sijui utajitoa vipi kwa wazungu??
 
Acheni vituko jamani..hizi nchi za kiarabu zina tawala za kiovu sana, na ukimchagua mwingine kuna probability ya kumchagu ambaya zaidi......

Panahitajika responsible world kuzuia kufuru za viongozi wa dunia ,ndio maana leo Qatar na Dubai waliojitahidi sogea kidogo nje ya hizi tawala na fikra za kiarabu,ndio maana wamkuwa mstari wa mbele ktk hayo.Fikra za kijamaa zimetuponza sana..akina Membe na wwengine walipiga kelele kuwa wachiwe mamabo ya africa wayamalize wenyewe..wakapiga mkwara kule comoro..wakaishiwa wazawasiwa wezi wa ushindi kwa kuwalazimisha washidi kukubali serikali zinazoitwa za umoja wa kitaifa ,huku zikiwa serikali za majanga ya taifa.

Mkiendelea lea huu ujinga wa kifikra soon mtajikuta hamjui kosa ni lipi na haki ni ipi..itafikia mahali mto ahaki kumumunya maneno kwa vile hajui haki ni ipi, na inaweza kuwa ya nani ktk wanaoigombea.
 
Unajisuta mwenyewe!
Wewe mpaka kesho picha ya mungu unaemuabu INA PICHA YA MZUNGU!

Aliyekuletea wewe ukristo huko africa ni MZUNGU!

YULE SANAMU ALIYEKO KWENYE MSALABA NI MZUNGU!

Wafadhili wa kanisa kuu na wawakilishi wenu duniani ni WAZUNGU!

KIONGOZI WA KANISA LENYE WAFUASI WENGI DUNIANI TOKA LIMEANZISHWA MIAKA ALFU KADHAA ILIYOPITA VIONGOZI WAKE WOOOOOTE NI WAZUNGU!

Yaani kwa kifupi wewe kuwakataa wazungu ni SAWA NA KUMKATAA YESU!

Sasa sijui utajitoa vipi kwa wazungu??

The only thing huji ni kwamba wayahudi hawakuwa wazungu,ingawa wamezaana sana na wazungu leo na kipindi fulani hapo nyuma....Haha..pia umesahau hata uislam unaweza wafikia watu wengine kupitia non-araba muslim..So hiyo haina uharamu as long as mafundisho ni mazuri na yenye usahihiunaohitajika.BY the way unabidi ukue kia kaili kidogo..wapo watu wanaopenda culture za watu kw akiasi ch akuchukua vitu vingi tuu..km mazavi, chakua, tune za nyimbo, ujenzi wa nyuma etc..na hata ngoma...kuna wengine hununua ukoo..wapo watu kibao wamenunu ukoo kwetu na sasa wana ubini wetu..hiyo ni personal choices ..na hawana shida na mtu km si ugaidi km wenu ..hakuna ustraabu dunian uliokaribisha uislam hata kwa amani , halafu leo ukabaki na amani..ethiopia, turkey waliukaribisha uislam leo wanajuta.....

well, tuirudi ktk Madhehemu ya Kikistu..uischojua wakristu kwa miaka tofauti walikuwa n symbol zao nyingi..mojawapo kuu ikiwa msalaba, na ingine ni Mkate na Samaki.....Apha na omega.....Ila hawajwahi kuwa na Kinyago km symbol..Hicho Kinyago ni wakatoliki wameweka ili wakristu wa leo waweze ona jinsi gani Yesu alininginizwa na wapi alichomwa mkuki.....kw ataarif ayako hakuna kitu cha Yesu hakijawahi kuwa questioned..hata nini kilimuua pale msalabani.....Bahati nzuri Yesu kwa matendo na maneno alilenga kuwamaliza critics wa kipindi kile na wa leo km byie vilaza.

Hiyo Picture ya Yesu inaweza kuwa na mtu mweusi au Yellow km si Asiani mwingine..ila ....kuna kitu kisingepatikana kirahisi.Mtu ambaye angeweza kuwa na facial structure km ya Yesu k ilivyoonekana ktk sanda ambayo ilihifadhiwa na Vatican...Sanda al maarufu km (Shroud of Turin)ndio iliyofikia maamuzi ya wanathologia wa Kikristu kuchagua appearance hiyo kuwa official image ,hata ktk movies...

Shroud of Turin - Wikipedia, the free encyclopedia
na hii
The Shroud of Turin Website - Home Page
na hii
CATHOLIC ENCYCLOPEDIA: The Shroud of Turin

NI mojawapo ya vitu Vatican wametunza km ushahidi kwa yale yanayotokea kila siku duniani..maadui wa Ukristu wakijaribu chimbachimba ili wapate nafasi ya kumuondoa Yesu ktk Historia ya dunia..kwani Profile Ya Yesu ni Tishio kwa dini dhaifu zinajidai kuwa ndio dini pekee,sijui kutoka kwa Mungu, sijui ndio wenye ukweli na Biblia imebadilishwa...

Mwisho nikuambie tuu kuwa wakristu wanaupa heshima msalaba kwani ndio ulio misngi wa ukombozi wao....Walatoliki wamefikia mbali kuuabudu...ila Kile kinyago si main , ndio maana wakristu husali kw aishar aya msalaba na si kwa kinyago.BY the way..undhani hata km watu wangeamua kuabudu ,kinyago, na vingine mnvyopenda waabudu ..unadhani kwani ingewahalalishiwa kuwaingilia?Nendeni mkawapige vita china, japan kw akuabudu masananu full.......kwa ujumla uislam hautaki jiangalia ulivyo superstitious....ule mwezi mchanga wa vichaa ni nini?Waislam wametoa Msalba mwekundu wakweza mwezi mchanga mwekundu..wakiw ana nia ya ku replace msalaba..yaani kila kitu kifanyikacho kwa msalaba basi kifanyike na huo mwezi mchanga..
 
mbokaleo naomba usiigeuze tena hii thread kuw aya kidini naona umetufuata na ku mention majina yetu huku ukiendelea na udini uli tuje.Naomba ujadili challenge za Dunia ya kiarabu ktk ulimwengu moya wa democrasia na globalization.....

Rubbish :yell:
 
HAPO KWENDE BOLD ! Hayo masuala ya kuweka msalaba na samaki na mkate kama ishara ya ibada mmeipata wapi??

biblia inakataza katakata kufanya hivyo!

INASEMA;-

"Usijifanyie sanamu ya kuchonga, mfano wa kitu chochote kilicho juu mbinguni, au kilicho chini duniani. Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi BWANA, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu, nawapatiliza wana uovu wa baba zao; hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao". (Kumbukumbu la Torati 5:8-9).

Sasa hebu tazama hapa! nyie mmefanya yoote mliokatazwa!

kuhusiana na wewe kusema WAKATOLIKI HAWAFAI WAMEFIKIA KUABUDU HAYO MASANAMU, LKN WEWE NDIO MFUASI MZURI!
Wewe mwenyewe umesema HAPO JUU kuwa nanukuu "..ndio maana wakristu husali kw aishar aya msalaba na si kwa kinyago" mwisho wa kunukuu.

HAPA KWANZA KWA HOJA HII UMESHAWATOA WAKATOLIKI KATIKA UKRISTO!

PILI, JE! ANDIKO LINASEMA NINI KUHUSU MSALABA??
HEBU SOMA HAPA CHINI!!

Yeyote anayetundikwa mtini amelaaniwa na Mungu (Kumbukumbu la Sheria 21: 22-23).

Amelaaniwa anayetundikwa kwenye mti (Wagalatia 3: 13).

SASA HUONI KUWA KWA KUWEKA KWAKO MSALABA SIO TU KUNAMDHALILISHA YESU KUWA ALIKUFA KIFO LA LAANA!
BALI UNAWEKA KITI KILICHOLANIWA KAMA ALAMA YA IBADA??

NAKUSHAURI UWE UNASOMA ANDIKO LAKO KABLA YA KUANDIKA KITU HUMU! HUENDA UKAJITOA KWENYE IMANI YAKO BILA WEWE KUJUA!!
 
mbokaleo naomba usiigeuze tena hii thread kuw aya kidini naona umetufuata na ku mention majina yetu huku ukiendelea na udini uli tuje.Naomba ujadili challenge za Dunia ya kiarabu ktk ulimwengu moya wa democrasia na globalization.....

Nadhani ombi hili ulipeleke kwa hao jamaa zako ambao wanakesha kutafuta stori yyt itakayo onyesha aidha UBAYA WA WAISLAMU! AU UDHAIFU WA WAISLAMU!!

NA KILA MKIANZISHA UZI ZA NAMNA HII HAMUWAPUNGUZII WAISLAMU CHOCHOTE ZAIDI YA KUWAONGEZEA UMAARUFU NA MNAZIDI KUUDHALILISHA UKRISTO KWA KUONYESHWA MISTARI INAYOTOKA NDANI YA BIBLIA AMBAYO WENGI WA WAGALATIA WALIKUWA HAWAIJUI!

SISI HATUNA TABIA YA SHARI HATA KIDOGO! NA SIO HUMU JF TU! BALI NI DUNIA NZIMA!!

WASHARI NI NYINYI AMBAO MPAKA HAO VIONGOZI WA KIGALATIA WANAKWENDA KUVAMIA NCHI ZA WAISLAMU USIKU NA MCHANA NA KUCHUKUA MAFUTA YAO KWA MABAVU!
 
Haha kuna tofauti sana kat ya Uzungu na Ukristu..wazungu nao wanajivunia Ukristu kuwa uliwastaarabisha na baadae wakaupa kisogo na kuendekeza wayajuayo kw akisais cha kuwapa atheist,humanist and free masons, liberal nguvu za kutosha anza upinga vita Ukristu..ila ugaidi wa waislam ndio unawaaamsha kuwa si kila tamaduni dunia ni utamaduni.

Ukristu wangu unafungua fikra yangu kw akiasi cha kuweza ona universala values....universal values ndizo zinashikilia watu, ndio zinazojenga sheria nyingi za nchi...Ni kunipitia hizo values ndio unaona kuna vitu mimi naweza kuwa na fikra kam za mazungu.ILA NI UPUUZI NA UTUMWA WAKO NDIO UNAFANYA UDHANI KWA VILE MIMI NI MTU MWEUSI BASI NITAKUWA KIBARAKA..UISLAM WAKO HAUKU[I FIKRA KUWA HATA MWEUSIE ANAWEZA KUWA KIONGOZI WA WAZUNGU NA BOGUS WENGINE KM WAARABU..A GOOD THING WAZUNGU WAPO WANAOTUMIA KAILI ZAO SANA KWA KIASI CHA KUWEZA WAPA EDGE..INSTEAD YA KUWACHUKIA JARIBU JIFUNZA KWAO.

ISRAEL IMEPEWA JINA NA MUNGU, SIJUI HATA KAM ARABIA PALIPEWA JINA NA SI TUU MUNGU WA ISRAEL HATA WA AL KAABAH GAKUIPA ARDHI YA ARABIA JINA...WALA MIPAKA.

Huna tufauti na wapuuzi wenzako kwa kukosa hoja za msingi. Umeshindwa kujibu hoja nchi zipi zilianzisha ugaidi na zinazotumia rungu la taasisi za kimataifa za haki za binadamu kusambaza ushoga?
 
Nani aliwahi kudondosha mabomu ya nyuklia? Nani ametumia silaha zenye depleted uranium? Nani ametumia agent Orange?

Nyie watu mnashindwa kureason mambo sijui kwanini!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom