Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,920
Did you miss me?
Inategemea sana unamaanisha nini unaposema "miss" !!!!!!!!!!!
Did you miss me?
Na hawa wana 12 wa israel ni watoto wa ndoa au ni watoto batili ili tuweke sawa suala la Ismael
The Syrian chemical weapons stockpile includes more than 1000 tons of agents
Inategemea sana unamaanisha nini unaposema "miss" !!!!!!!!!!!
Na hawa wana 12 wa israel ni watoto wa ndoa au ni watoto batili ili tuweke sawa suala la Ismael
Teh teh teh teh!
We unaonekana una hasira sana na mimi!
Usijepata mtoto anafanana na mimi tu!
Wa kiislamu!😀😀😀
Teh teh teh teh! Mkuu wangu Ritz uu mkimya lkn ukitokeza tu! Unapiga ikulu moja kwa.moja!
Huyu mtoto huwa anamwaga povu weee!
Likikauka anaomba msamaha kwa kusema tusigeuze uzi!
Kumbe mgeuzaji ni yy mwenyewe na hao wapambe wake!😀😀😀
We mtoto mi nakwambia sema amen!
We unatukana!
Hivi mbona unakosa adabu namna hii!
Au nyie wasabato ndio mnafundishwa kuongea na wakubwa zenu namna hii?
Na hawa wana 12 wa israel ni watoto wa ndoa au ni watoto batili ili tuweke sawa suala la Ismael
The US alone has over 30,000 tons of chemical weapons whose disposal could cost at least $12 billion. More than 50 ocean and inland lake sites across the US contain explosive items, and harbours and beaches at the site of old battles throughout the world are riddled with unexploded bombs.
Source Hazardous Wastes
Ni km mwanafunzi na vichaa kutaka lalamika kuwa mbona hospital kuna sindano na visu vinavyotumika choma na kukata miili ya wanadamu.
Nakuuliza, Jee, wewe unavuta bangi?
Siku hizi bangi imekuwa mojawapo ya vigezo vyako....