French intelligence: Syria has over 1,000 tons of chemical agents

French intelligence: Syria has over 1,000 tons of chemical agents

Unajisuta mwenyewe!
Wewe mpaka kesho picha ya mungu unaemuabu INA PICHA YA MZUNGU!

Aliyekuletea wewe ukristo huko africa ni MZUNGU!

YULE SANAMU ALIYEKO KWENYE MSALABA NI MZUNGU!

Wafadhili wa kanisa kuu na wawakilishi wenu duniani ni WAZUNGU!

KIONGOZI WA KANISA LENYE WAFUASI WENGI DUNIANI TOKA LIMEANZISHWA MIAKA ALFU KADHAA ILIYOPITA VIONGOZI WAKE WOOOOOTE NI WAZUNGU!

Yaani kwa kifupi wewe kuwakataa wazungu ni SAWA NA KUMKATAA YESU!

Sasa sijui utajitoa vipi kwa wazungu??

Hebu jaribu kuipa akili yako mwanga halafu ujifunze kujenga hoja
Nilikuambia kuwa unadhani mtazamo wa wakristo wote duniani ni mmoja?

Ninapozungumza na wewe najua kuna waislam hawazikubali hadith
Kama wewe huzikubali hadith siwezi kukulazimisha
Nitazungumza na wewe kwa mujibu wa Quran tu

Hujui kama mimi nina imani ya kuweka picha ndani mwangu
Inakuwaje unalazimisha?

Post hii ulimquote Nicholas nakumbuka hata mimi uliwahi kuniambia kitu kama hiki
Niulize mtazamo wangu kuhusu jambo hili,kama nalikubali niulize maswali sio kujumlisha mabo kwa staili ya ajabu namna hii

Niliwahi kukupa mfano wa mtazamo wa Wasabato kuhusiana na kanisa katoliki,nilikuambia kuwa Wasabato wanaamini mpinga kristo ni Papa
Sasa hebu fikiria kuwa mimi ni msabato halafu unaniletea mipicha ya kikatoliki,nitakuelewaje?
Yaani unaniletea jambo ambalo mimi naliamini ni la kishetani halafu unaniambia ni imani yangu?utaeleweka kweli?
Kwanini usijifunze kujenga hoja zenye mashiko?

Kanisa katoliki kuongozwa na wazungu linamuhusu nini mpentekoste,msababto au mmorevian?

Ni sawa ukamshushue mkkt kwa waanglikana kuwa na makasisi mashoga,sidhani kama utakuwa mzima!
Jaribu kuwa na hoja za msingi!!!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
mbokaleo naomba usiigeuze tena hii thread kuw aya kidini naona umetufuata na ku mention majina yetu huku ukiendelea na udini uli tuje.Naomba ujadili challenge za Dunia ya kiarabu ktk ulimwengu moya wa democrasia na globalization.....

Kweli mkuu
Sijawahi kumkuta huyu jamaa mahali popote anajadili mambo tofauti na haya
Na amezoea kutumention majina kila mara kwa hoja zake za kidini

Sijui hana ya kuongea!
 
mkuu wangu hapo umepiga ikulu! watu kama nyie ulimwengu huu unawahitaji sana kuwaelkeza hawa vibaraka kama Nicholas na huyo Eiyer, wanafuata kila mzungu anacho kisema, hata ikiwa kitawagombanisha na wazazi wao. and the very same people wanajisifu na kusifiwa na hawa vibaraka wao kuwa ni taifa teule lililopewa GURANTEE NA MUNGU KUWA LITAINGIA KTK UFALME WA MUNGU!, I cant make any alterations in your comments my friend. big up! Bukyanagandi
Mkuu, Nicholas nilisha mstudy sana, kusema kweli ana uzalendo wa hali juu, nilisha soma posts zake kwenye networks zingine - inapokuja suala la Taifa letu Nicholas yuko mstari wa mbele kulitetea. We sema inapokuja suala la mambo yanavyo kwenda ndani ya Taifa letu hapo hana utani na mtu, anasema bila ya kuogopa - usipo muelewa vizuri unaweza kuwa confused lakina hana neno mkuu, we sema ana mambo ya utani sana.
 
Mkuu huyo hatanii ispokuwa kutokana na elimu yake kuwa ndogo basi ukisoma post zake utadhani ANATANIA!

Teh teh teh teh!

Ananikumbusha mwalimu wangu wa kiswahili! Jamaa alikuwa kaishia form 4 halafu eti anataka kufundisha form 3!
Basi alikuwa akifundisha anaonekana kama ANATANIA KAMA HUYO Nicholas
Teh teh teh teh!
 
Last edited by a moderator:
Kweli mkuu
Sijawahi kumkuta huyu jamaa mahali popote anajadili mambo tofauti na haya
Na amezoea kutumention majina kila mara kwa hoja zake za kidini

Sijui hana ya kuongea!

Mara zote utanikuta naongea pale tu ninapomuona mtu anasema uongo kuhusu MUNGU MUUMBA!

Na hili kwa taarifa tu ni WAJIBU WA KILLA MWISLAMU KUSEMA KILE CHA HAKI KUHUSU MUNGU MUUMBA!

Sasa usianze tena kuniuliza maswali yako ya kitoto hapa eti! Ni MUNGU GANI
NINAEMUONGELEA!

MUNGU MUUMBA NI MMOJA TU!

NA KILA NIKIONGEA KUHUSU MUNGU. NINAMUINGELEA HUYO MUNGU MUUMBA WA MBINGU NA DUNIA NA VILIVYOMO HUMO BILA KUWASAHAU MANABII WOTE AKIWEMO YESU MWANA WA MARIAM!

Sasa hebu acheni kusema mambo ya uongo kuhusu MUNGU MUUMBA! muone kama mimi ntasema kitu!

Na pia kutoa matukio machafu yote na kuwasingizia waislamu!

Mnssssssssss!

Ntakwenda na nyie sambamba mpaka kiama! Mpaka mkome kabisa kusema uongo!
 
HAPO KWENDE BOLD ! Hayo masuala ya kuweka msalaba na samaki na mkate kama ishara ya ibada mmeipata wapi??

biblia inakataza katakata kufanya hivyo!

INASEMA;-

"Usijifanyie sanamu ya kuchonga, mfano wa kitu chochote kilicho juu mbinguni, au kilicho chini duniani. Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi BWANA, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu, nawapatiliza wana uovu wa baba zao; hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao". (Kumbukumbu la Torati 5:8-9).

Sasa hebu tazama hapa! nyie mmefanya yoote mliokatazwa!

kuhusiana na wewe kusema WAKATOLIKI HAWAFAI WAMEFIKIA KUABUDU HAYO MASANAMU, LKN WEWE NDIO MFUASI MZURI!
Wewe mwenyewe umesema HAPO JUU kuwa nanukuu "..ndio maana wakristu husali kw aishar aya msalaba na si kwa kinyago" mwisho wa kunukuu.

HAPA KWANZA KWA HOJA HII UMESHAWATOA WAKATOLIKI KATIKA UKRISTO!

PILI, JE! ANDIKO LINASEMA NINI KUHUSU MSALABA??
HEBU SOMA HAPA CHINI!!

Yeyote anayetundikwa mtini amelaaniwa na Mungu (Kumbukumbu la Sheria 21: 22-23).

Amelaaniwa anayetundikwa kwenye mti (Wagalatia 3: 13).

SASA HUONI KUWA KWA KUWEKA KWAKO MSALABA SIO TU KUNAMDHALILISHA YESU KUWA ALIKUFA KIFO LA LAANA!
BALI UNAWEKA KITI KILICHOLANIWA KAMA ALAMA YA IBADA??

NAKUSHAURI UWE UNASOMA ANDIKO LAKO KABLA YA KUANDIKA KITU HUMU! HUENDA UKAJITOA KWENYE IMANI YAKO BILA WEWE KUJUA!!

This is too rubbish.....to waste our precious time.....Ulitaka wapate ruhusa kwa nani..?Mwehu sana wewe ...majambazi wamechagua ujambazi, magaidiw amechagua ugaidi, wabakaji na walala na maiti wamechagua, do you think hawajui wafanaycho...?
Lets say wanaabudu msalaba, maria, Yesu na kila kitu cha Mungu, au hata kile kwa ujinga wa waislam na uislam wenyenye wanadhani wakristu wanaabudu .....je undhani itasaidia nini uislam.....Wahindu ,wabudha na animists unadhani hawajui wanachokiabudu na wameamua kichagua.....?

mwehu kabisa.....unadhai utasaoudn romantic au kuwa na dini ya kweli kwa kurudiarudia huu upumbavu..kudhalilisha Yesu wewe ndiye unajua kuliko Yesu mwenyewe....?Lini umeanza hubiri Ukristu na si uislam..KWanza tunaombeleza Kenya ...hizo ndizo faida za uislam na hasara kwa dunia....Sijawahi sikiwa uislam ukiponya watu..nasikia wakiangamiza watu na mali.
 
Nadhani ombi hili ulipeleke kwa hao jamaa zako ambao wanakesha kutafuta stori yyt itakayo onyesha aidha UBAYA WA WAISLAMU! AU UDHAIFU WA WAISLAMU!!

NA KILA MKIANZISHA UZI ZA NAMNA HII HAMUWAPUNGUZII WAISLAMU CHOCHOTE ZAIDI YA KUWAONGEZEA UMAARUFU NA MNAZIDI KUUDHALILISHA UKRISTO KWA KUONYESHWA MISTARI INAYOTOKA NDANI YA BIBLIA AMBAYO WENGI WA WAGALATIA WALIKUWA HAWAIJUI!

SISI HATUNA TABIA YA SHARI HATA KIDOGO! NA SIO HUMU JF TU! BALI NI DUNIA NZIMA!!

WASHARI NI NYINYI AMBAO MPAKA HAO VIONGOZI WA KIGALATIA WANAKWENDA KUVAMIA NCHI ZA WAISLAMU USIKU NA MCHANA NA KUCHUKUA MAFUTA YAO KWA MABAVU!

ni wehu wako na dini yako kuwa awkward sanandio maana unaona hata huu uzi kuwa ni w akidini na against your dini..nani hajui uislam ulivyo na shida nakila kitu..Siku hizi wazungu kuwaupiga uislam vita vi kuwapeleka wanawake shule tuu...wenzio asia kla mhalai wnawamwagia acid...wanalipua shule kwa shari km nini..hapo ndipo utajua jinsi gani uislam unajistukia..hii dini ilipaswa kuwa ya wachawi ya kuhbiri sirini kwani hadharani kila kitu kwao ni uadui.

Uzi unaongelea issue ingine kabisa..wewe unaiona kidini...hembeu tuambie mna mpango gani pale wa kiovu...?Mafuta nchi za kiislam?We mwehu sana..km mtu anayelilia dada yake kupata bwana..as if utamuoa wewe....wewe waarabu kwa ujinga wao na umwinyi unadhani hayo mafuta wangeayafanyia nini zaidi ya kuyauza...na wnagemuuzia nani?Acha danganya watu..yale mafuta yana makubaliano na yanauzwa....na hakuna soko lingine zaidi ya nchi za magahribi....mbona duabi, qatar na abudhabi wanauza gesi na mafuta na hawana shida..?kwa vile wamashapiga hatu aktk ustaarabu..ingawa hawajatupa hii dini ambayo haiwezi ondoka ktk past.
 
Kweli mkuu
Sijawahi kumkuta huyu jamaa mahali popote anajadili mambo tofauti na haya
Na amezoea kutumention majina kila mara kwa hoja zake za kidini

Sijui hana ya kuongea!

Mkuu hii ni dalili kuwa hawa jamaa walipigwa bao nyingi bila ktk thread zingine...ndio maana wanajiatahidi sana round zirudiwe.........si unaona ufahamu wao.na degree zao za ahera..hawawezi amini kuwa mambo yao yanatia kinyaa wakati ndio yaliwadanganya kubaki ktk hiyo dini ambayo ni adui hata wa yenyewe......

Hawa wapo ktk wrong side of history.....usidhani kuwa wana shule za hovyo TZ tuu, hata vyuo vikuu vyao ni vya hivyo...wanasoma huku WAKIFIKIRI HIVYO...HAWA MAKAFIR WALISEMA HATUJASOMA ELIMU DUNIA SASA NA SISI TUNASOMA HALAFU HAWATUNYIME KAZI...TUNAWAPIGA BAO KTK ELM DUNYA NA ELIMU AHERA....ghafla wanajikuta wakipigwa bao ktk kuwa na strong education, wanajikuta kuna values hawana, wanajikuta ubunifu, na utendaji wa haki ..wanapigwa bao tena..wanaamua jilipua......

wana shoalrship za kijinga sana huko saudi Arabia..vyuo vyenye sifa km za waganga wa kienyeji..au za Lipumba.
 
Huna tufauti na wapuuzi wenzako kwa kukosa hoja za msingi. Umeshindwa kujibu hoja nchi zipi zilianzisha ugaidi na zinazotumia rungu la taasisi za kimataifa za haki za binadamu kusambaza ushoga?

Haha.....naona unang`aka kwelikweli km vile umefumaniwa ukiwanga........hata majaambzi huwa wanawaadhibi raia waliowaripoti kwa polisi kwa kuwiata wambea.....kwa fikra za unachoamini ..kuzuia ugaidi na na kuadhibiwa nai kama kufanyiwa ugaidi.Nakuelewa.
 
Wewe hujui hata mimi niliandika hayo kwasababu ya nini
Unakurupuka tu!!!

By the way umekuwa mwanachama wa Freemason siku hizi?
Maana hiyo avatar ya "all seeng eye" vipi tena?
Teh,teh,teh,teh,teh,teh,teh!!!!!!!!!!!!!!!!

Hawa jamaa ni wa hovyo sana....leo anzisha dini yako kesho watajidai kuwa niw ataalamu zaidi yako, watajifanya kuw aimeandikwa ktk quran.....walishaingia line ktk kila kitu walikuwa wakisema kuwa hata 3 states of matter ktk quran zipo.....leo sayansi inasema kuwa kuba kibao....hata Evolution amabyo ni against Creation wanasayansi wao walisema pia ipo ktk quran...sasa hivi nao ni wataalamu wa freemasons......pia ni waganga wa jadi....sasa nao wana mitishamba ya kisunnah.....ni dini ambayo ipo too general to be something..
 
Mkuu huyo hatanii ispokuwa kutokana na elimu yake kuwa ndogo basi ukisoma post zake utadhani ANATANIA!

Teh teh teh teh!

Ananikumbusha mwalimu wangu wa kiswahili! Jamaa alikuwa kaishia form 4 halafu eti anataka kufundisha form 3!
Basi alikuwa akifundisha anaonekana kama ANATANIA KAMA HUYO Nicholas
Teh teh teh teh!

wehu unakusumbua....KUNA KITU HUJUI...YAANI BINADAMU HAWAWEZI UOSOMA UBONGO WAKE NA KUUJUA WOTE...KWA UJINGA WAKO NI NGUMU SAN AKUPIMA LEVEL YA FIKRA YA WATU WENGINE..HATA WA LEVEL YAKO.

kWA TAARIFA YAKO ELIMU YA DARASANI YEYOTE ANAWEZA MFUNDISHA MWENZIE KWA KILE ANACHOKIELEWA...KWA TAARIFA YAKO ,NIMEFUNDHA WENGI SANA WA NILIOSOMA NAO DARASA MOJA, NA KUNA ISSUE NILIKUWA NAWAFUNDISHA WALIMU......SO USISHNGAE SANA NIKIKUFANYA WEWEW NI MZAHA(SI KUKUFANYIA MZAHA ILA KUKUGEUZA WEWE KUWA MZAHA WENYEWE).

nOAN UNAPENDA SANA JIPIMA NA MIMI..HUJAJIULIZA KWA NINI..?NAONA KILA MAHALI UNANI MENTION SANA.Nyie ni mojawapo ya watu wanaoconfuse sana mambo...km Bukyanagandi livyosema....ktk uzalendo sina mzaha..hata awe pesident akija na fikra km zako..za kuharibu halafu wanakomaa wakijifanya kuwaita wanaouliza njia zao kuwa si wazalendo.....wengi wa vilaza km vyie nilipokuwa nikisema kuwa zoezi la kudeal na Rwanda na wakimbizi wake halikuwa tumia the best ways..wala busara..niliishia tupia matusi, nakuitwa si mtanzania..sasa mambo yanaanza kuwa wazi,, watanzania wengiz aidi wanajitokea kuonyesha wapi hawajaridhika..jumuhia z akimataifa nazo zinaonyesha kutoridhika.....sijui wapo wapi aliokuwa wakiniita kuwa si mzalendo...Akili ndogo bi mbaya sana..sasa ningekuwa mahali wanapoweza niua wangeniua halfu sasa hivi ndipo wakumbuke kuwa kweli kuna shida.

EXperience na history zinawekwa ili kutusaidia tusiwe speciemen tena kw mambo yanayorudiarudia..au hata kuweza predict kwa kuanalize patterns fulani .....

kwa nyie watu mnaodhani kuwa Quran kuwa rigid bila kuwa na roorm for flexibility ni ufahari..ni ngumu sana kuweza adapt hii dunia..mtaua kila mtu mkidhani kuwa mpo sahihi...
 
Mara zote utanikuta naongea pale tu ninapomuona mtu anasema uongo kuhusu MUNGU MUUMBA!

Na hili kwa taarifa tu ni WAJIBU WA KILLA MWISLAMU KUSEMA KILE CHA HAKI KUHUSU MUNGU MUUMBA!

Sasa usianze tena kuniuliza maswali yako ya kitoto hapa eti! Ni MUNGU GANI
NINAEMUONGELEA!

MUNGU MUUMBA NI MMOJA TU!

NA KILA NIKIONGEA KUHUSU MUNGU. NINAMUINGELEA HUYO MUNGU MUUMBA WA MBINGU NA DUNIA NA VILIVYOMO HUMO BILA KUWASAHAU MANABII WOTE AKIWEMO YESU MWANA WA MARIAM!

Sasa hebu acheni kusema mambo ya uongo kuhusu MUNGU MUUMBA! muone kama mimi ntasema kitu!

Na pia kutoa matukio machafu yote na kuwasingizia waislamu!

Mnssssssssss!

Ntakwenda na nyie sambamba mpaka kiama! Mpaka mkome kabisa kusema uongo!

Acha upuuzi wewe..Muumba unamjua wewe..?au unadhani kilichoandikwa ktk Quran kinatosha mdescribe Muumba..?Mungu is Bigger than your personall views au hata zile views za Quran....unless unaongelea generalized things...ni ngumu kumshawishi mtu Mungu ameenea ktk kitabu ambacho nikajisiu kuwa kimemjumuisha na shetani....Encyclopedia Britanica na volumes zake zote haiwezi kuandika immune system ya Binadamu pekee....ndio Quran ambayo kwanza imerudiarudia mtume kuanzia mwanzo hadimwisho..?
 
ktk hii dunia ..mataifa madogo ni ngumu sana kuficha kitu chenye hitech ndani yake..kwani mara nyingi ni lazima washirikishe makampuni makubwa ya nje..ama kununua vifaa kwa gia ya mpango mwingine ama kuwakusanya wataalamu kwa staili ya ajabu, ama kuwapeleka wataalamu fulani kujifunza kitu fulani ktk nchi fulani na hivyo baadaye hao watu kuwa tracked..km wamekuja ajiriwa kwa pamoja sehm u moja then kitu fulani kina washa alarm...

So wafaranze watakuwa walijua siku nyingi walishaanza fuatilia, au pia wali supply mitambo kupitia mashirika ya nchi km ubelgiji etc.
 
Mara zote utanikuta naongea pale tu ninapomuona mtu anasema uongo kuhusu MUNGU MUUMBA!

Na hili kwa taarifa tu ni WAJIBU WA KILLA MWISLAMU KUSEMA KILE CHA HAKI KUHUSU MUNGU MUUMBA!

Na hili ni tatizo lingine kwenu
Mnadhani nyie mna hati miliki ya neno Mungu Muumba

Mbona Freemason hamuwasemi?
Au hujui kwamba wana mungu anaeitwa G.A.O.T.U?
Na wanadai kuwa ndie muumba wa kila kitu hadi wewe?

Kuna jambo mngekuwa mnalifanya ningekuwa nawaona angalau mnafikiri
Angalau mngekuwa mnamuuliza mtu ni Mungu gani anamzungumzia hapo angalau mngekuwa na ka hoja japokuwa ni jambo la kijinga kupambana na binadamu kwa sababu ya mungu unaemuabudu,si apambane yeye mwenyewe?

Nyei mna mungu mnaemuabudu na ana jina lake
Wakristo nao hivyo hivyo
Wabudha,Hindu n.k nao hivyo hivyo
Mungu wa wakristo sio wa wabudha,waislam,hindu n.k

Mkristo anapojaa mapovu kwa Muislam kumtaja mungu wake kuwa muumba ni wendawazimu
Hivyo hivyo pia kwa muislam

Ni wendawazimu kwa kuwa hamtaji mungu wake[anaempinga] bali yule anaemuabudu[anaetamka]
Huku kushindana ni aina ya kichaa na njaa ya kutaka kutambulika na zaidi sana ni woga wa kuiogopa Dini husika kwa kudhani dini hiyo ni imara kuliko ya kwako

Dini yoyote inayowaagiza waumini wake wakashindane kuhusu mungu,mungu huyo atakuwa ni muoga wa miungu mingine
Atakuwa anawahofia miungu hao wasimpore waumini,kama mungu huyo ana nguvu si apambane mwenyewe?Halafu inaonekana mungu huyo hajui hata kuhusu neno mungu

Ingekua afadhali angalau kidogo sana kuwaambia waumini wake wakapambane kama JINA lake litatukanwa japokuwa nalo hilo ni ujinga!!!!

Hebu jaribuni kuwa na akili angalau kidogo!!!!!!
 
wazungu wanafki sana, wakati israel inawapiga palestina na silaha za kemikali wao walikuwa wapi?
 
Haha kuna tofauti sana kat ya Uzungu na Ukristu..wazungu nao wanajivunia Ukristu kuwa uliwastaarabisha na baadae wakaupa kisogo na kuendekeza wayajuayo kw akisais cha kuwapa atheist,humanist and free masons, liberal nguvu za kutosha anza upinga vita Ukristu..ila ugaidi wa waislam ndio unawaaamsha kuwa si kila tamaduni dunia ni utamaduni.

Ukristu wangu unafungua fikra yangu kw akiasi cha kuweza ona universala values....universal values ndizo zinashikilia watu, ndio zinazojenga sheria nyingi za nchi...Ni kunipitia hizo values ndio unaona kuna vitu mimi naweza kuwa na fikra kam za mazungu.ILA NI UPUUZI NA UTUMWA WAKO NDIO UNAFANYA UDHANI KWA VILE MIMI NI MTU MWEUSI BASI NITAKUWA KIBARAKA..UISLAM WAKO HAUKU[I FIKRA KUWA HATA MWEUSIE ANAWEZA KUWA KIONGOZI WA WAZUNGU NA BOGUS WENGINE KM WAARABU..A GOOD THING WAZUNGU WAPO WANAOTUMIA KAILI ZAO SANA KWA KIASI CHA KUWEZA WAPA EDGE..INSTEAD YA KUWACHUKIA JARIBU JIFUNZA KWAO.

ISRAEL IMEPEWA JINA NA MUNGU, SIJUI HATA KAM ARABIA PALIPEWA JINA NA SI TUU MUNGU WA ISRAEL HATA WA AL KAABAH GAKUIPA ARDHI YA ARABIA JINA...WALA MIPAKA.

Ndio hao hao ambao Yesu aliwaambia wameua manabii wengi wamungu? wewe ni msomaji wa Biblia au mnazi tu wa ukristu? unakumbuka Yesu alisema ufalme unaondolewa kwao waezrael na kupewa taifa jingine ? labda utuambie ni wapi Yesu alipobadili kauli yake hii?.

Kwani wazrael wote ni wakristu? mbona wapo wa imani yakiyahudi ambao hata hawamkubali Yesu. waarabu wametokana na uzao wa Ismael ambaye ni mtoto wa kwanza wa mzee Ibrahim baba wa imani , na jina Ishamel limetoka kwa mungu mwenyewe kupitia kwa malaika Gabriel ndio maana nikakuuliza wewe ni msomaji wa biblia au mnazi tu??
 
wazungu wanafki sana, wakati israel inawapiga palestina na silaha za kemikali wao walikuwa wapi?

haha..km vile unasema serikali ikiwashitaki baba aliyewapiga wanawe na mkewe kwa silaha hatari,ukauliza serikali ilikuwa wapi baba wa nyumba mbili(Mmoja na nyumba,mwingine ni kujishikiza ktk nyumba ya watu) walipopigana...

Ktk nyumba baba akitumia silaha wasizo nazo mama na watoto,achilia mbalia kuwapiga tuu haki za msingi zao zitahitajika..Hizbollah are terrorists wanaovamia taifa lenye haki ya kujilinda, wana syria wapo oktk nchi yao...wana haki kulindwa, kuchagua serikali au kuiondoa...
 
Ndio hao hao ambao Yesu aliwaambia wameua manabii wengi wamungu? wewe ni msomaji wa Biblia au mnazi tu wa ukristu? unakumbuka Yesu alisema ufalme unaondolewa kwao waezrael na kupewa taifa jingine ? labda utuambie ni wapi Yesu alipobadili kauli yake hii?.

Kwani wazrael wote ni wakristu? mbona wapo wa imani yakiyahudi ambao hata hawamkubali Yesu. waarabu wametokana na uzao wa Ismael ambaye ni mtoto wa kwanza wa mzee Ibrahim baba wa imani , na jina Ishamel limetoka kwa mungu mwenyewe kupitia kwa malaika Gabriel ndio maana nikakuuliza wewe ni msomaji wa biblia au mnazi tu??

singependa san ageuza huu mjadala kuwa wa kidini...ila kurahisisha tuu..si kweli kuwa waarabu wote ni uzao wa ishmaeli...otherwise isingesemwa kuwa alikwenda kuoa makabila ya kiarabu...Unaweza sema mengi sana kuwa ishmael jina lilitoka kwa Mungu,ila hujui hata shetani jina lilitoka kwa Nani?

Nini kinakufanya udhani kuwa Mungu kuondoa ufalme kwa Waisrael basi umepelekwa kwa waarabu?Sasa mbona waarabu wameupiga Ukristu sana vita km unadhani wayahudi kutoukubali ukristu ni issue kihivyo?Nani kakuambia kuwa ufalme utapewa taifa specific na si mataifa km ilivyosemwa?

At least unajijibu kwanini Ukristu ni habari njema kwa mataifa ..na nitakushangaa sana baadae ukija na longolongo kuwa Ukristu ni wana wa Israeli.

Huwa ncheka sana watu wanavyokomaa na ukubwa wa Ishmaeli wakati Suala la kuwa harabu ktk uislam ni issue mbaya sana..Ishamel hakuwa mtoto wa ahadi , wala wa ndoa ndio maana walipewa ch akuwatunza wakaambiwa wale kona walimwekee kiwingu Isack..hiyo ni msga kali sana na yenye nguvu inayoonyesha chuki kwa ishamael na mama yake dhidi ya prince...hadi leo hiyo ni problems...
 
Singependa! Singependa!!
Halafu unaamua mwenyewe kuugeuza wa kidini!
Unasema "WAARABU WANAUPIGA VITA UKRISTO!?....!

WE UNAJUA ASILIMIA NGAPI YA WAARABU NI WAKRITO??

Tena sio WAKRISTO WA KUIGA KAMA WEWE! HAWA WAMEZALIWA PALEPALE ALIPOZALIWA.mungu WAKO!!

Elimu ndogo ni balaa kubwa sana!
Mi nakushauri kabla ya kuweka comments zako humu. Kapate elimu kwanza!
Ndio maana mkuu Myanguneni akakuuliza je! Wewe ni msomi wa biblia au mnazi tu!?
Naona hujamjibu mpaka sasa!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom