Kiriba
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 540
- 258
Kuna sehemu yakuuzia chakula na kutengeneza zile chips kama za Kinondoni inapangishwa. Eneo liko Sinza Mori karibu na Big Bon. Kuna fremu kubwa yakutosha, uwanja wakutosha na maji ya bomba yako muda wote. Pembeni yake kuna Pub mpya.
Mkodishaji anatakiwa atengeneze supu asubuhi, shakula cha mchana, supu jioni an usiku atengeze chips/kuku wekundu/mishikaki/rojo/chapati za kipemba/kichori etc.
Anaye hitaji tuwasiliane ili tuweke terms vizuri.