Freestyle ya Chid benz 'Chid Flow'

Ayayayayaaa jamaa kapasuka kishenzi yani anatamka maneno yote ambayo kwa maadili ya Kitanzania ni mwiko kuyatamka hadharani.
Maneno kama wanato***, wanafi****, wase***, ku**..., aisee anahitaji msaada wa malezi na maadili.
 
Chidi alikua na nafasi kubwa sana ya kuwa msanii wa hip hop mkubwa kuliko wote Tanzania. Tatizo mtoto wa Ilala alipo pata umaarufu tu akaona hashikiki. Kwanza alianza kutishia kustaafu muziki ile 2008 akidhani ana hitajika sana. Mwisho wa siku kasa maarufu zaidi kwa kuvaa hereni puani badala ya muziki wake. Huyu kwisha kaziiii....
 
Ayayayayaaa jamaa kapasuka kishenzi yani anatamka maneno yote ambayo kwa maadili ya Kitanzania ni mwiko kuyatamka hadharani.
Maneno kama wanato***, wanafi****, wase***, ku**..., aisee anahitaji msaada wa malezi na maadili.

nyie ndo mnao tukana hapa....na mnajadili ili iweje?
 
Wadau polen na corona.
Wakati huu tulipitia hii kitu corona naomba yeyote mwenye wimbo wa Chid Beenz,unaitwa "Chid flooor",kama sjakosea alirekodia studio ya Down town miaka iyooo.
Nimehangaika sana You tube na kwingineko sijaupata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NYIMBO NYINGI ZA ZAMANI HUPATIKANA
waptrick.com au tubidy.com

When your toddler was learning to walk, you’d encourage her to get back up after she fell down,Parents should practice that approach as their children get older.
 
Itafute humu humu JF ilishawekwa. Freestyle ile ina matusi sana.
 
Back
Top Bottom