#FreeMboweAndEstherMatiko... anyone?

Hahahahahh...Bwana mdogo Chahali,hujulikani uko upande gani,unajitahidi sana kuficha rangi yako halisi lakini wapi,jua Kali linakuumbua mapema tu,hakuna atakayekutukana kwa kuchapia kwako.
Endelea kupokea mshahara wa jiwe,ila ipo Siku yatakukuta ya Alexander Litvenenko
 
Kwahiyo ukimya wenu matokeo yake nini nini mkuu?

Hivi kweli kwenye huu uzi hamjaona hata point moja?

Basi endeleeni kumshabikia Membe
 
Mnafiki mkubwa ni nyie mbwa mliomtelekeza Mbowe. At least mie naweza kutoa excuse ya "najipendekeza kwa Jiwe kwa sababu ya njaa zangu." Do you have any excuse ya nyie kumtelekeza Mbowe na Matiko?
Yaani unatuita siye mbwa? Aisee mse*nge sana wewe jamaa,eti ulipikwa ukapikika na nani? na hao idara uchwara wanaokamata hadi wauza kahawa? You're real a blessed bastard
 
Wewe kama unenunuliwa au una chuki zako binafsi,kaa kushoto.

Huwezi kuja na habarI za kukejeli hapa mara kwa mara alafu wakatI huo huo unajifanya unaguswa na manyanyaso wanayopewa wapinzani.

Mnafiki mkubwa!!
Chahali ni ibilisi mkubwa and he will pay the price
 
Jasusi uko vizuri sema tu bavicha hawataki kuambiwa ukweli.
 
Apande hapo ghorofani anapokaa kuna kibabu kimejinyea akitawaze apate ujira then aje kuwalaumu Wanachadema. Kwake anachotendewa Mbowe na Matiko ni sahihi ila Chedema hawajachukua hatua . Pambaf....
 
Hivi Mbowe na Esther Matiko si mahawara hawa?

Isijekuwa ni dua za Lilian ndiyo zinafanya kazi hapo.
 
Wachagga mahodari sana kwa biashara.

2015 waliikodisha chadomo kwa mamvi, 2020 wanajenga solo la kuikodisha kwa Maembe.

Hongera sana wachagga kwa biashara.

Hapendwi mtu babangu zinapendwa pesa tu. Kwa lafdhi ya Mzee Mrema.
 
Mnafiki mkubwa ni nyie mbwa mliomtelekeza Mbowe. At least mie naweza kutoa excuse ya "najipendekeza kwa Jiwe kwa sababu ya njaa zangu." Do you have any excuse ya nyie kumtelekeza Mbowe na Matiko?
Ametelekezwa kivipi sijakuelewa.
 
huyu X yupo kwenye mission nyingine na soon atakuwa amemaliza kazi... hawa watu sio wakuwaamini mpaka siku unashuhudia wapo underground kwani kila wakifanyacho wao kwao ni kazi...unaweza ukawa unakula nao msoto kumbe mwenzio yupo kazini!! tena kazi ingine.

mie simo nasema ingawa nipo mbali nao futi 1000.
 
Naona kama unaongea pumba tu.sasa kama unafahamiana na Mbowe umemsaidiaje kutoka gerezani? Halafu kingine sijakuelewa ulikuwa unataka wanachadema tufanyaje ili kumtoa mbowe gerezani? Nijibu kwanza hayo
 
Huyu Julian Asanje wa CCM anawapotezea move watu na ndiye alishiriki kutuletea jiwe madarakani ila mkate wake ulipopigwa panga anajifanya mpinzani wa jiwe. Njaa mbaya na haina adabu
 
Mnafiki mkubwa ni nyie mbwa mliomtelekeza Mbowe. At least mie naweza kutoa excuse ya "najipendekeza kwa Jiwe kwa sababu ya njaa zangu." Do you have any excuse ya nyie kumtelekeza Mbowe na Matiko?
huendi mbinguni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…