#FreeMboweAndEstherMatiko... anyone?

Makamanda huwa hawataki hata siku moja uwakosoe. Wao ni malaika, leo chahali ataoga matusi hadi akome
 
wewe ni verified user?
 
Tumika nawe uwe na bei.
Tahadhari kwa wasomi, angalieni mifano kama hii. Kwa nini mnajianika mpaka mnaamua kujiadhiri bila sababu. Hawa Watanzania ni waelewa, endeleeni kujidanganya mkidhani ni wajinga...
 
Mkuu kumbe na wewe una lugha kali namna hii! Rudi kwenye lugha za kistaarabu hata kama umekasirika unaharibu haiba yako namna hiyo. Hujasoma Mithali 26:4?!
Mimi nina wasiwasi hii ID inakuwashared Lumumba. Msipoteze muda.

Ukweli unabaki wao wanatawala kwa namna ambayo watawaliwa tunapata tabu. Faraja yangu ni kuwa hatusaliti imani yetu kuhusu utawala bora kama unavyotakiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…