jafari irigo
Member
- Jan 9, 2013
- 16
- 0
Habarini wana JF.
Naomba kwa wanaofahamu freemason vizuri wanijuze. Katika fikra zangu ninafahamu ni mtandao wa siri .
Mawazo yangu yalibadilika ghafla baada ya kupita katika mji mdogo wa Lamadi wilayani Magu nakukuta matangazo kila kona yaliyoandikwa hivi.
FREEMASONS kwa anayehitaji kujiunga apige namba ( 0766654467) .
Baada ya kuuliza baadhi ya watu waliozipiga walidai njia ni nyeupe garama ni chini ya laki nawe piga.
Sasa leo naomba kuuliza wale wanaofahamu mtandao huo je ni ukweli watu hawa wanajitangaza hivyo?
Je ni kweli watu hao walioweka matangazo wanamalengo mazuri na watu wanaopigia au ni kuwadanganya ili wawale?