Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,424
- 133,804
- Thread starter
-
- #21
Kwa tz Kuna lodges Arusha, Tanga, mwanza, Dar na vikao vinaanza mara moja kwa mwezi saa 12 na kwenye vikao hakuna discussion za siasa au dini.............
freemasons-ni mkusanyiko wa mafundi mwashi duniani,simple and clear!
Lengo la kuja hapo ni nini?
•kutafuta wanachama?
•kuelimisha umuhimu wa freemason?
[COLOR=#ff0000 said:Nyani Ngabu;4623845]Hivi kwa nini kuna fascination na fixation ya hiyo freemason?[/COLOR][]
I know...right !!! Kila kitu conspiratorial always takes a lot of our energy.
Pia najiuliza mbona hawazungumzagi kuhusu SKULL AND BONES?
ametaja eneo ilipo.....?
Watu wanakuja duniani na white pajamas?Wakati wakifanya " rituals" wanatakiwa kuvaa kama ulivyokuja duniani, with nothing but huvaa white pyjamas!.