Freemasons mbona mmetuletea Elon Musk?

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,300
Reaction score
47,328
Mzuka wanajamvi!

Freemasons tafadhalini muondoeni Elon Musk kwenye hiyo nafasi na hata kumi bora hasiwepo.

Yani mmetuletea mtu wa ajabu sana. Yani bora nyakati zile mlituwekea kina Bill Gates na Warren buffet.

Bill Gates alikuwa mtu poa sana hata Africa alikuwa anakuja na kula ubwabwa maharage na madogo vijijini.

Freemasons next time fanyeni vetting ya uhakika kwenye mchakato wa kumuweka mwengine.

N de A
 
Akili za waafrika na freemasons bwana ni sawa na watanzania na lbl.
 
UNAMJUA ROSTAM AZIZI NA FAMILIA YAKE WEWE🙄
 
Tutakuweka wewe upo tayari?!
 
Naona mwamba umerudi kwa kishindo na za ndaaani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…