Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

Mathanzua

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
9,636
2,000
Umejuaje Kama ni shoga? Lini serikali yetu ya ccm imeukataa ushoga?
CCM ingekuwa imeukubali Ushoga tungeona kwenye Katiba.Na mbona adhabu ipo kisheria ya mtu anaye fanya vitendo vya ushoga.Huo si ushahidi tosha kwamba CCM haikubali ushoga? Sasa ninyi CDM si ushoga uko nyumbani,maana mgombea Urais wenu ni mtetezi wa mashoga Ulaya!Dah,hii ni aibu sana jameni,sijui mnajisikiaje wenzetu.
 
Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
11,803
2,000
Freemason ni watu wa kawaida kabisa na binadamu wema. Usitishike.
duh inatisha sana ila nadhani hawa jamaa wamekuwa wengi sana duniani na serikli zetu lazima zitakuwa zina bow kwao....

hapo umempiga bao sheihk. na nimeshtushwa na list ya mablack ktk jumuia hii. Je mchonga alikuwa mmoja wao??
 
Jackwillpower

JF-Expert Member
Oct 4, 2017
680
1,000
Mnyama wa namba 666 na Illuminati, malengo yao ni mamoja, ya kuitawala dunia, kisiasa, kiuchumi, kidini nk.

Ukweli ni kwamba huwezi kutenganisha Illuminati na Freemason .

Lakini pia huwezi kuwazungumzia freemason bila kumfahamu na kumtaja Dr.Albert Pike.

Dr. Albert Pike alizaliwa Disemba 29, 1809 akiwa ndiye mtoto mkubwa kwenye
familia ya watoto sita ya Benjamin na Sarah Andrews Pike. Pike alizaliwa na kukulia kwenye familia ya Kikristo kwenye dhehebu la Episcopal. Akiwa na umri wa miaka 15 alifanya mtihani wa Harvard College na akafaulu lakini hakuweza kusoma chuoni hapo kwa sababu ya kukosa fedha. Baada ya kusafiri hadi kufika mahali panapoitwa Santa, aliendelea na safari yake hadi Arkansas ambapo aliajiriwa kuwa mhariri wa gazeti kabla ya kufanya kazi bar. Akiwa Arkansas, alikutana na Mary Ann Hamilton na akamuoa Novemba 28, 1834. Aliweza kuzaa watoto 11 pamoja na mkewe.

Alipofikisha umri wa miaka 41 aliomba kujiunga na freemason kwenye Loji inayoitwa Western Star Lodge No. 2 huko Little Rock, Ark ikiwa ni mwaka 1850. Alipata Digrii zake 10 za York Rite kuanzia mwaka 1850 hadi 1853. Alipata digrii ya 29 ya Scottish Rite mwezi Machi 1853 akiwa Loji ya Albert Gallatin Mackey huko Charleston.

Kwa mujibu wa maandishi ya mwanzo kabisa kuhusu Freemasons, maandishi hayo
yanasema kwamba chanzo cha freemasons ni Adam anayesemekana kuwa ndiye Mason wa kwanza kabisa. Kitambaa kinachoitwa ‘apron’ wanachokivaa Masons wakati wa ibada zao wanadai kuwa ni sawa na ngozi aliyoivaa Adamu na Hawa katika bustani ya Eden.

Ujuzi wa kujua mema na mabaya alioupata Adamu baada ya kula tunda walilokatazwa ulichukuliwa hadi kwa mtoto wa Adam aitwaye Seth, na kisha kwa Nimrod ambaye ndiye mwanzilishi wa ujenzi wa mnara wa Babeli, yeye akiwa ni kitukuu wa Nuhu. Dr. Albert Mackey (mwenye digrii 33 na mwandishi wa Freemasonry Encyclopedia) anarejea kwenye maandishi ya mwaka 1560 yakielezea kwamba chanzo cha freemasons ni kwenye mnara wa Babeli na kwamba Nimrodi aliwafundisha wajenzi wa mnara huo imani ya freemasons.

Baada ya Mungu kuchafua lugha yao, siri zote za freemasons inasemekana kuwa zilipotea. Wakati mfalme Sulemani (Solomon) alipokuwa anajenga hekalu, freemasons wanaamini kwamba imani yao ilianzishwa tena. Mackey anasema kwamba Sulemani (Solomon) ndiye aliyekuwa Grand Master wao mkuu na Loji (Lodges) zote zilianzishwa na Sulemani.

Hata hivyo Martin L. Wagner ambaye ni muumini wa freemason anafundisha kwamba jina ‘Solomon’ sio jina la kabila ya Israeli kwa sababu maana ya jina hilo yaani Sol-om-on humaanisha jua katika lugha ya kilatini ‘Sol’, katika lugha ya
kihindi ‘om’ na katika lugha ya Misri ‘on’ hivyo kumaanisha kwamba Solomon ndiye mungu jua na mkuu wa Freemasons baada ya Nimrod.

Wakati wa utawala wa Uyunani (Greece) kulikuwa na vikundi vilivyoitwa ‘guilds’ sawa na vyama au ‘unions’ kwa wakati wetu huu. Vikundi kama hivyo viliitwa “Dionysiacs,” huko Roma na ndivyo vilivyohusika na ujenzi wa viwanja vya michezo (stadiums).

Baadae vikundi hivi ndivyo vilivyohusika na ujenzi wa makanisa (cathedrals) na majengo makubwa na baadaye vikapewa majina kama Carpenta, builders, draftsmen, craftsmen katika fani ya ujenzi. Watu hao kulingana na fani zao walikaa kwenye vikundi pamoja na mahali hapo pakaitwa Loji au Lodge.

Ndio chanzo cha majengo ya kuabudu ya freemasons kuitwa ‘Lodges’. Wale wote waliokuwa na fani ya ujenzi wa majengo waliitwa ‘Masons’ lakini iwapo mtu asiye na ujuzi wa ujenzi wa majengo huku akitaka kujiunga na chama hicho aliitwa ‘Accepted Mason’. Baadae Dr. Albert Pike aliandika kitabu kinachoitwa ‘Morals and Dogma of the Ancient and Accepted Scottish Rite of Masonry’ alichokiandika mwaka 1871. Kitabu hicho ndicho chenye mafundisho na
mwongozo wa imani ya freemasons.

Ndani ya kitabu hicho kuna jumla ya digrii 33 za freemason na walitumia mahesabu katika kutoa digrii zao 33, unadhani waliamua tu? hapana! Walipata digrii 33 kutokana na kinachoaminiwa “human trinity” yaani ‘utatu wa kibinadamu’ kwamba ni moyo, ubongo na viungo vya siri. Wakasema kwamba viungo vya siri na ubongo vinaunganishwa na ngazi 33 za vipingili vya viungo vya uti wa mgongo (joints).

Kwamba uti wa mgongo una ngazi 33 kutoka unapoanzia kwenye viungo vya siri hadi kichwani kwenye ubongo.

Hapa inabidi tuwaulize madaktari watupe ukweli kuhusu hizo ngazi 33 za uti wa mgongo. Mtu anapobalehe ndipo anapoanza kupanda ngazi na anapofikia umri wa kuwa na akili (ubongo) timamu iliyotulia huwa amefikia ngazi ya
juu kabisa katika ubongo, sawa na kumaliza ngazi zote 33 za uti wa ubongo.

Hatimaye imani ya freemasonry ilisambaa taratibu katika maeneo mengi duniania:

Ufaransa (1718-25) , Ireland (1725-26), Hispania (1726-27), Uholanzi (1731), Ujerumani (1730-33),Africa (1735), Scotland (1736), Ureno (1736), Switzerland (1737), Italia(1733-37), Russia (1731-40), Canada (1745), Sweden (1735-48), Prussia (1738-40), Austria (1742), Poland (1784), na Mexico (1825).

Ili kujiunga na imani hii lazima mtu awe na umri wa miaka 21 (3×7) na kama ni mtoto wa freemason anaweza kujiunga akiwa na umri wa miaka 18 (9+9).

Zipo Loji kuu (Grand Lodges) 150 duniani na kuna wanachama wasiopungua 6,000,000 duniani kote. Kila digrii ina mafundisho yake ambapo kadri freemason anavyopanda ngazi kutoka digrii ya chini kwenda digrii ya juu anafunuliwa siri zaidi kuhusu malengo, ibada na utaratibu mzima wa freemason na Illuminati.

Albert Pike anasema: “The Blue Degrees (the Blue Lodge degrees) are but the outer court or portico of the Temple. Part of the symbols are displayed there to the Initiate, but he is intentionally mislead by false interpretations. It is not intended that he shall understand them; but it is intended that he shall imagine he understand them”. [Albert Pike, Morals and Dogma, p. 819; Emphasis added].

Akimaanisha kwamba

freemason wa digrii za chini hawapaswi kujua siri na maana halisi ya alama za freemason ila huwa anadanganywa ili afikiri kwamba anazijua.

Unaweza kuona aina za digrii hizo; kwa mfano digrii ya 18 inayoitwa ‘Knight of Rose Croix’ hushughulika na elimu ya aina za misalaba na jinsi ya kufanisha kuziingiza ndani ya taasisi na madhehebu mbalimbali kwa imani ya Illuminati na freemason na kwa kweli freemason wa digrii hiyo wamefanikiwa kwa kiwango cha juu kabisa kuingiza aina nyingizi za misalaba ndani ya makanisa na taasisi bila ya waumini kujua maana ya misalaba hiyo.

1619771101229.png

1619771143903.png

Yapata Januari 22, 1870 Pike alipata maono ya nuru “illuminated” kutoka kwa GAOTU—Shetani—kuhusu mpango maalumu wa jinsi ya kutimiza malengo ya New World Order yaliyowekwa na Adam Weishaupt, miaka 94=9+4=13 au 9×4=36 iliyopita, tangu Mei Mosi, 1776, Malengo hayo yalipangwa yakamilike ifikapo Millenia ya 7.

Ndipo akaanza kwa kuandika kitabu mashuhuri kwa freemason kinachoitwa “Morals and Dogma” ambacho kilichapwa kwa mara ya kwanza mwaka 1871, mwaka mmoja tu baada ya kupokea njozi ya kutekeleza mpango mpya wa dunia.

Unaweza kujiuliza kwamba hivi mpango wa zamani wa dunia ulikuwa ni upi hadi waweke mpango mpya wa dunia? Freemason wanauita Ukristo kuwa ni “Mpango wa Zamani wa dunia” na hivyo walidhamiria kuharibu Ukristo na hivyo kuanzisha mpango mpya wa dunia (New World Order) ambao ni Upagani.

Tayari viongozi wakuu wa mataifa ya dunia (UN) wamekuwa wakikutana mjini New York ili kuangalia malengo ya Millenia yamefikia wapi, na kwa uwazi wamekuwa wakisema kwamba kuna umuhimu wa kuharakisha New World Order kwa visingizio vya umaskini, maradhi na ujinga.
 
kilwakivinje

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
3,180

View attachment 1768799

View attachment 1768800

Balaaa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom