Mkuu una shida gani na Freemason??
waliomuua Gaddafi si watu wake mwenyewe na ilikua live pictures?? maana una kama threads zaidi ya tano unahangaika nao
wamekuchukulia mke?
Mwezi wa toba huu, ni bora angeangalia channels nzuri za mawaidha au kutembea-tembea jioni mitaa yake na manyunyu haya kuliko kujinajisi na habari za namna hiiYuko idle na hajui a post nini. Mradi tu abandike.
duh....kama ndio hivyo tumekwisha sasa
Kwqani kuna ubaya wa aina gani kuweka hii post? Watu wa kuwalaumu ni waandishi wa habari mimi nime Copy na Ku Paste kuna ubaya gani? mimi sikuandika hii habriş mkuu tz1duuh MziziMkavu sikutegemea ungeweka post zaina hii!
Kwqani kuna ubaya wa aina gani kuweka hii post? Watu wa kuwalaumu ni waandishi wa habari mimi nime Copy na Ku Paste kuna ubaya gani? mimi sikuandika hii habriş mkuu tz1
Mkuu una shida gani na Freemason??
waliomuua Gaddafi si watu wake mwenyewe na ilikua live pictures?? maana una kama threads zaidi ya tano unahangaika nao
wamekuchukulia mke?
Kwani wewe ni mmoja wapo wa wanachama wanaokunywa Damu ya Mtu mkuu 'TF' Mna utetea Ushetani wa kunywa Damu wengi wenu imewagusa kwa sababu mume jiunga na kunywa Damu za Watu kwenye chama cha mashetani duniani.uko biased kinoma inapotokea suala la frimesoni hadi unakera
Kwa Upeo wake mfupi mkuu.@Janjaweed anafikiri zile Ndege za Nato Walibya walizikodisha ili zimtowe kiongozi wao Amka Mkuu Janjaweed (John Garang)acha usingizi wewe Mzee. Mkuu.@Boflona zile ndege za nato ni watu wake pia???
Guys freemasonly ni secret brotherhood, being secretly ndio essence ya existance yao.Kutokana na maendeleo ya teknolojia cku hiz hadi vitabu vyao vipo kwenye mitandao BUT agenda zao na mipango yao ni siri kubwa hata young masons wa degree tatu kama kina Jay Z hawazijui na information zozote zinazotoka nje mpaka mbongo kama wewe unazpata zina aim ya kumislead(conseal) na sio kureveal. You hv been fooled kama unaamin kwamba 12/12/2012 ndio wataestablish new world order. Wanachoplan mimi na wewe hatujui and probably we wont its only few "illuminated ones" wanaojua wat wil happen and when and believe it o not hakuna istitution which is safe from the illuminati including religion!
uko biased kinoma inapotokea suala la frimesoni hadi unakera