kichomiz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 19,012
- 11,945
Umeielewa mada?Hivyo mwalimu alipandikizwa na nani kuiongoza TANU na ccm kwa miaka zaidi ya ishirini?
Umeielewa mada?Hivyo mwalimu alipandikizwa na nani kuiongoza TANU na ccm kwa miaka zaidi ya ishirini?
Wamekwama wakati CHADEMA wamepenya hadi wamefanikiwa kutuletea Mgombea URAIS?Walipandikiza kwa NCCR wakafanikiwa kuisambaratisha, wakaja TLP wakafanikiwa kuusambaratisha, wamepandikiza CUF, kwa CHADEMA wamekwama, sasa wana hasira
View attachment 841004
Hata Chakubanga anafahamu vizuri hali hiyo, HAWAWEZI kukubali.Kama wanajiamini waambie polis wakae pembeni natume ifanye kazi yake ipasavyo,vyama vishindane kwa hoja na kwa Uhuru tuone anayechukiwa na umma ni Mbowe au Mwenyekiti wa CCM
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza kuitaja hadharani ni aina gani ya kodi inayotakiwa kulipwa baada ya muamala husika kufanyika? Ili tuone kama unatambua unachokisema au hunanunachokijuaAaa.. Wapi!!! chama ulikiuza mwenyewe kwa mzee Lowassa kwa 7B taslimu na fedha umeenda kuzichimbia Dubai.
Bila hata ya kulipa angalao kodi.
Bofya TRA.Unaweza kuitaja hadharani ni aina gani ya kodi inayotakiwa kulipwa baada ya muamala husika kufanyika? Ili tuone kama unatambua unachokisema au hunanunachokijua
Wewe unaesema kodi inatakiwa ilipwe ndo uitaje nimeshapitia huko lakini sijaona au hujui hata ulichokizungumza?Bofya TRA.
Jipeni moyo raisi buyu anapendwa..gete..gete.CDM mpo vzr; soon biashara yao ita backfire.
So far yur game plan is super...
Hapana, kwasasa mnahitaji CCM mpya ndiyomaana mnanunua viongozi kutoka upinzani.Sasa tuna hitaji CHADEMA mpya na itakayoweza kushika dola
Unamaanisha kama mlivyomuua Oscar Kambona???Makamanda wa povu mnashindwa kufanya mapinduzi ya ndani kama yale ya Cuf Prof alivyomng'oa Maalim,au mnaogopa kuuwawa?!
Waasisi tuwaheshimu.
Inaonekana hata 10m hujawahi kushika.Aaa.. Wapi!!! chama ulikiuza mwenyewe kwa mzee Lowassa kwa 7B taslimu na fedha umeenda kuzichimbia Dubai.
Bila hata ya kulipa angalao kodi.
Umeanza na uongo wa aya ya pili, eti kwenye maisha haitakiwi kuiga njia za mafanikio ya nwenzako. Hapo tu nikakuona kuwa huna unalolijua.Hizi ni defensive mechanism tu hazina ukweli wala uhalisia wowote.. Kusema ati CCM ina hasira na chadema ni dalili tosha kabsa kuwa upinzani nchini kwetu umeshindwa vibaya sana
Ktk maisha unashauriwa sana usijaribu kuiga njia za mafanikio ya mwenziyo... Ila unatakiwa uelewe mbinu ipi itakutoa sasa ktk miktadha ya siasa upinzani umedhibitisha kabsa kwamba nje na maandamano na kuitukana serikal hawakuwa na 2nd plans.
Leo hii chadema wanatafuta public sympathy ambayo haitawasaidia chochote...
Kulalamika tena kwa kutumia siraha ati CCM na serikali inawanunua wanachama wenu ama inatumia ahadi zozote zile ni indicator moja mbaya kabsa katka ulingo wa siasa
Kila mwananchi mwenye uelewa w mambo hawezi akakaa na kusikiliza upuuuzi kama huu kwani anajua kbsa ni sabbu za kitoto kwani mtu kqma huyo anajua kbs hata nyie mna vinasaba hivyo hvyo...
Chadema na upinzani kw ujumla inaonekana kbsa na hii ni mbaya na binafs inanikera sana kukalia kuangalia madhaifu ya serikali ndyo maana mmekuwa mkiendesha siasa zenu kw mifumo ile ile bila kubadilika ni kwa sababu ya kutokuwa na mifumo imara matokeo yake serikali ilipowagundua na kutokana na kubadilika kw tawala mmejikuta mfumo wenu ukifeli mchana kweupe na kushndwa kujua mchawi ni nani!! Jipangeni. Andaeni sera. Punguzeni kulalamika koz mnatuuuzi wananchi wenu na watu wanajikuta wakiwashangaa kila siku na mkiendelea na siasa hizi zisizo na mbele wa nyuma mtazidi kupukuchika kama miti .......pia GPA za 32 madhara yake ndo haya
Sent using Jamii Forums mobile app
How is he an obstacle ?Mbowe ni mkwamishaji wa upinzani wa ukweli nchini,