Freeman Mbowe: Walipandikiza kwa NCCR Wakafanikiwa, TLP wakafanikiwa; wakapandikiza CUF kwa CHADEMA Wamekwama sasa wana hasira

Wewe ni mmoja katika mashangingi ambao nimewaweka kwenye Spam List humu JF. Fuatilia huwa ukininukuu huwa nakaa kimya. Sababu ni kwamba upeo wako ni mdogo sanaaaaa na umejaa ushakunaku mahaba. Hiyo inakuondolea umakini wa kujadili na kupambanua mambo ya msingi.
Leo ni Jumapili ndio maana nimejibu huu upupu wako.
Kwi! Kwi! Kwi! sasa mbona huo ushahidi hujaweka bibie ?
 
Hahahaha Mbowe bana, anajua kucheza na akili za "manyumbu".

Hapa anajaribu kukwepa uwajibikaji kwa kuonyesha kuwa migogoro na matatizo yaliyopo kwenye chama chake yanasababishwa na watu wengine, na yeye hahusiki.

Ana_ divert uelekeo wa manyumbu, kama yalikuwa yakielekea Maasai Mara anayarudisha yalikotoka na yenyewe yanafuata tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani acha tu mkuu. Na ana mifugo (Manyumbu) ya kutosha kweli kweli.
Mfugo wake mmoja huo hapo kwenye posti #55.
 
Kwangu mimi si mshabiki wa kiongozi yoyote yule wa kuchaguliwa kukaa madarakani tena cheo kimoja zaidi ya miaka 10. Ukijaribu kuangalia viongozi hasa hawa waafrika wenzetu wakikaa madarakani zaidi ya 10yrs huanza kutawala/ kuongoza kwa mizengwe. Halafu unakuta wote wanaokaa madarakani zaidi ya 10yrs wote huwa na sababu zinazoshabihiana na hawatoki mpaka wapate mashinikizo, tena unakuta wengine walikua wananyooshea vidole wenye tabia hizo.

Tuje kwa Mbowe sasa. Ni kweli Mbowe amekiongoza cdm kwa mafanikio hasa miaka 15 iliyopita, na kweli cdm imekuwa taasisi imara. Kama imekuwa taasisi imara ni kipi kinamfanya ashindwa kupisha wengine? Ni kweli anataka tuamini yeye ni imara kuliko cdm? Na kama kweli cdm sio imara bali yeye ndio imara hilo ni kosa lake kwa muda aliokaa madarakani kama mwenyekiti kwani hakujenga taasisi imara bali alijijenga kama yeye.

Sasa hivi nchi yetu inakabiliwa na kitisho cha Magufuli kuongezewa muda wa kukaa madarakani zaidi ya 10yrs. Na ukijaribu kuangalia cdm wangalau ndio chama chenye watu wanaoweza kupaza sauti hilo lisitokee. Je kama ni hivyo nguvu za kuzuia hilo lisitokee cdm watapata wapi iwapo Mbowe bado analazimisha kubaki madarakani? iwapo Mbowe akiachia uenyekiti cdm itakufa acha ife kwani ni kosa lake mwenyewe la kujijenga yeye na sio taasisi imara. Nani kamuambia ikifa cdm basi nchi itakufa. Hata kama ni kisingizio cha cdm imara chini yake ni kipi kinafanya viongozi wake wa kuchaguliwa kuondoka sasa? Kwani kuna udhaifu zaidi ya huo? Inasikitisha kuona wanachama na washabiki wa cdm kushabikia Mbowe kubaki madarakani kw propaganda ya kuilinda cdm.

Mbowe kama angekuwa anajua kusoma alama za Nyakati na kweli ni mtu anayewajibika angetangaza kuachia uenyekiti wa cdm pindi tu kete yake ya Lowassa iliposhindwa kupata urais. Ni ukweli ulio dhahiri Mbowe alichemsha kwa karata ya kumpokea Lowassa ambaye alitumia cdm kama ngazi ya kupatia urais na sio imani yake kwa cdm, achia mawaa aliyokuwa nayo tena Mbowe na wanacdm wote wakiwa ndio wameeneza mawaa hayo. Ni aibu kubwa kwa kiongozi wa upinzani anayehamasisha uwajibikaji wa serekali halafu yeye mwenyewe asiwe mfano tena kwa kosa la dhahiri. Leo hii propaganda za ccm zinapata nguvu kwa kosa la dhahiri la mwenyekiti wa cdm kisha washabiki na wanachama tunafumbia macho kosa lile. Mbowe ni muda wake kiroho safi kukaa pembeni bila kujali propaganda za ccm zinasema nini kwani hizo haziwezi kukoma.
 
Hapo hapo ccm inapambana kubakia madarakani kwa kuhonga na kununua wapinzani na kuiba kura ili iendelee kutawala milele huku ikiwatumia police kwa maslahi yao binafsi huku siasa za majukwaa zikipigwa marufuku kwa upinzani
Hili wewe ni muumini mzuri sana na huoni tabu yoyote

E&K
 
Kwa maana nyingine anamaansha hatoki madarakan kwakuwa CCM wataweka pandikizi au sijaelewa vzur,kama ni hvyo tunasafar ndefu Kama taifa.Kupata upinzani imara labda wajukuu zetu.Hatuwez kuwa na upinzan unaoamin katika mtu sio itikadi zake.Kwahyo ikitokea mathalan hatuombei MUNGU akamwita na chama nacho kitakufa Kwahyo...
 
Watanzania mna akili moja! Ccm na mwenyekiti wa chadema nani katuongoza mda mrefu....? Pili mwenyekiti wa chadema hachaguliwi na Ccm. Mashinikizo ya Ccm kwenda chadema juu mwenyekiti!
 
Ni aibu kwa nchi kuongozwa na chama kimoja miaka 45 halafu bado nchi hiyo ni maskini
Maana yake wanaokichagua ni wajinga sana na hawajui nini maana ya siasa au wanaibiwa kura zao kwa kuwa tume ndio humtangaza mshindi na sio kura za wananchi

E&K
 
Atatoka madarakani pale wanachama watakapoona inafaa. Na sio propaganda za vyama vingine.
 
Aaa.. Wapi!!! chama ulikiuza mwenyewe kwa mzee Lowassa kwa 7B taslimu na fedha umeenda kuzichimbia Dubai.

Bila hata ya kulipa angalao kodi.
Umevirugwa kwenye ubongo wako,umesahau ccm mlisha mkabidhi mwekezaji?sasa hivi akusema yeye ndio hakuna kuhoji
FB_IMG_1494788493080.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vijana mnashindwa kutafakari issue za maana juu ya maendeleo ya taifa,kucha kutwa mwenyekiti wa Chama kisichokuwa na dola! Kawazui nini? ,Tanzania ina viumbe wa ajabu sana. Mkimaliza hili mnahamia kwa wapinga maendeleo!.mmerogwa Vijana! Mnatumika? .Fikra za kitumwa!
 
Chadema ikifa mbona kwenu raha,mnataka aachie uenyekiti ili Chama kiendelee kukua?. Nafikiri waitara angeipeleka Chadema next level......
 
Back
Top Bottom